-
Misri yatangaza kurefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi 3 mingine
Oct 22, 2018 04:18Bunge la Misri jana lilipiga kura ya kurefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu na hivyo kurefusha nguvu ya serikali ya kutumia madaraka maalumu kuelekea mwaka 2019.
-
AI yailaumu Ufaransa kwa kuiuzia silaha serikali ya Misri
Oct 17, 2018 03:48Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty international limeikosoa vikali Ufaransa na nchi nyingine kadhaa za Ulaya kwa kuendelea kuiuzia silaha serikali ya Misri na kusema kwamba, zimekiuka maamuzi ya Umoja wa Ulaya ya kupiga marufuku kuiuzia silaha serikali ya Cairo.
-
Waarabu wataka utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Libya
Oct 15, 2018 04:15Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesisitizia haja ya kutafutwa utatuzi wa kimsingi na wa kudumu wa mgogoro wa Libya.
-
Gaidi hatari zaidi wa Misri atiwa nguvuni Derna, Libya
Oct 08, 2018 23:05Msemaji wa Jeshi la Taifa la Libya ametangaza kuwa, jeshi hilo limemtia nguvuni kinara wa makundi ya kigaidi katika mkoa wa Derna huko kaskazini mwa Libya.
-
Zaidi ya magaidi 50 wauawa Sinai, Misri
Oct 08, 2018 09:48Jeshi la Misri limetangaza kuwa, magaidi 52 wameuawa katika operesheni ya kijeshi iliyofanyika dhidi ya kundi moja la kigaidi katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Magaidi 15 waangamizwa Sinai Kaskazini nchini Misri
Oct 03, 2018 23:11Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 15 katika mapigano baina ya vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo na magaidi hao kaskazini mwa Misri.
-
Al Bashir: Eneo la Halayeb ni milki ya Sudan
Sep 30, 2018 10:38Rais wa Sudan amesema tena kwamba eneo linalogombaniwa la Halayeb ni milki ya nchi yake na kwamba Khartoum inazo nyaraka za kihistoria zinazothibitisha madai hayo.
-
Wanaharakati Misri watoa wito wa kukabiliana na kanali 27 za satalaiti za TV za Kiarabu zinazoanzishwa na Israel
Sep 27, 2018 12:17Wanaharakati nchini Misri wametaka zichukuliwe hatua kukabiliana na kampeni inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha kanali za televisheni za satalaiti za lugha ya Kiarabu.
-
Mahkama ya Misri yakataa pendekezo la kufanya maridhiano na dikteta Mubarak
Sep 24, 2018 11:02Vyombo vya Mahkama nchini Misri vimetupilia mbali pendekezo la kuridhiana na dikteta aliyeuzuliwa madarakani Hosni Mubarak, pamoja na watoto wake.
-
Makumi ya wafuasi wa Ikhwanul Muslimin wafungwa maisha nchini Misri
Sep 23, 2018 11:14Kiongozi wa kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na makumi ya wananchama wa kundi hilo wamehukumiwa kifungo cha maisha jela nchini Misri.