-
Amnesty International yakosoa oparesheni za jeshi la Misri huko Sinai
Feb 15, 2018 12:25Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limesema kuwa Misri ni lazima iache kutumia mabomu ya vishada haraka iwezekanavyo baada ya jeshi la nchi hiyo kutoa mkanda rasmi wa video unaoonyesha silaha waliozotumia katika oparesheni za hivi karibuni huko Sinai ya Kaskazini.
-
Kuendelea radiamali ya mashirika ya haki za binadamu kuhusiana na udikteta wa uchaguzi nchini Misri
Feb 14, 2018 09:06Katika radiamali ya hivi karibuni kabisa ya mashirika ya kimataifa kuhusiana na mchakato wa uchaguzi wa Rais nchini Misri, asasi na juumuiya kadhaa za haki za binadamu likiwemo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch na waandishi wa habari wasio na mipaka zimetangaza kuwa, uchaguzi huo hauna hata vigezo vya chini kabisa vya kufanyika zoezi la upigaji kura katika mazingira ya wazi na huru.
-
Mashirika ya kutetea haki yautaja uchaguzi ujao wa Misri kama kichekesho
Feb 13, 2018 23:51Mashirika 14 ya kieneo na kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameutaja uchaguzi ujao wa rais nchini Misri kama mchezo wa kuigiza.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani nchini Misri
Feb 12, 2018 23:27Rex W. Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akiwa katika safari yake ya kiduru katika kuzitembelea nchi za eneo, aliwasili jana mjini Cairo, mji mkuu wa Misri.
-
Jeshi la Misri laua magaidi 12 katika Rasi ya Sinai
Feb 12, 2018 04:18Jeshi la Misri limesema kuwa limeua magaidi wasiopungua 12 na kuwatia mbaroni wengine wapatao 100 katika opereseheni kubwa iliyoanzishwa na jeshi hilo kaskazini mwa Rasi ya Sinai.
-
Wanachama wengine kadhaa wa Ikhwanul Muslimin wahukumiwa kifungo cha maisha jela Misri
Feb 12, 2018 01:06Wanachama kadhaa wa harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya Misri wamehukumiwa kifungo cha maisha jela na mahakama ya nchi hiyo.
-
Jeshi la Misri lawaangamiza magaidi 16 katika eneo la Sinai
Feb 11, 2018 12:14Jeshi la Misri limetangaza kuwa, limewaua magaidi 16 kufuatia operesheni ya kijeshi katika eneo la Sinai.
-
Amnesty yakosoa ukandamizaji wa serikali ya Misri dhidi ya wapinzani
Feb 10, 2018 13:03Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa ukandamizaji unaofanywa na maafisa wa serikali ya Misri dhidi ya wapinzani wa serikali ya nchi hiyo.
-
Ikhwani yakanusha kufanya mazungumzo na serikali ya el Sisi, Misri
Feb 09, 2018 00:48Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imekanusha madai kwamba, viongozi wake wamefanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo.
-
Safari yenye malengo ya uchaguzi ya Rais wa Misri nchini Imarati
Feb 08, 2018 04:23Rais Abdul-Fatah al-Sisi wa Misri Jumanne ya juzi aliwasili Abu Dhabi katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) baada ya kukamilisha safari yake ya siku tatu huko Oman.