-
Ukiukwaji haki za binadamu Misri walaaniwa
Mar 05, 2016 12:19Vikosi vya usalama vya Misri vimelaumiwa kwa kukiuka haki za binadamu kutokana na kutekeleza vitendo vya utesaji na mauaji ya kiholela wakati wa kukabiliana na wapinzani.
-
Mbunge wa Misri atimuliwa kwa kufanya kikao cha siri na balozi wa Israel
Mar 03, 2016 10:01Bunge la Misri limemtimua mjumbe wake mmoja anayedaiwa kukutana na kufanya mazungumzo na balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu usalama wa taifa la nchi hiyo ya Kiarabu mjini Cairo.
-
Ikhwanul Muslimin yakanusha kutaka maridhiano na serikali ya Misri
Mar 01, 2016 12:15Katibu Mkuu wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri amekanusha kutolewa ombi lolote na harakati hiyo la kutaka ufanyike usuluhishi baina yake na utawala wa sasa wa nchi hiyo.
-
Wauaji wa Sheikh Shehatta wahukumiwa kifungo cha miaka 14 jela Misri
Feb 25, 2016 23:18Mahakama moja ya Misri imewahukumu kifungo cha miaka 14 jela watu kadhaa waliohusika na mauaji ya mwanazuoni wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo, Sheikh Hassan Shehatta.
-
Al-Sisi akiri ndege ya Russia ilitunguliwa na magaidi Misri
Feb 25, 2016 04:29Rais Abdul Fattah al-Sisi wa Misri amekiri kwamba ndege ya abiria ya Russia iliyoanguka mwezi oktoba mwaka uliopita katika anga ya nchi yake ilitunguliwa na magaidi.
-
Msafara wa polisi wa Misri washambuliwa kwa bomu
Feb 22, 2016 04:21Polisi mmoja ameuawa na watu wengine 11 wamejeruhiwa baada ya kutokea mripuko katika msafara wa polisi hao kwenye mji wa al Arish nchini Misri.
-
Mtoto wa miaka 4 jela maisha kwa mauaji Misri!!
Feb 22, 2016 00:08Mahakama moja nchini Misri imemUhukumu kifungo cha maisha jela mtoto MMOJA wa miaka 4 kwa tuhuma za kufanya mauaji akiwa na umri wa baina ya mwaka mmoja na mwili.
-
Al-Sisi: Polisi wote wanakaokiuka sheria, wachukuliwe hatua kali
Feb 20, 2016 04:05Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametaka kuchukuliwa hatua kali dhidi ya polisi watakaohusishwa na ukiukaji wa sheria nchini humo.
-
Mahakama ya Misri yazuia kesi ya Morsi kuakisiwa na vyombo vya habari
Feb 19, 2016 04:18Mahakama ya Makosa ya Jinai nchini Misri imepiga marufuku waandishi wa habari kuakisi mwenendo wa kesi ya Rais aliyepinduliwa 2013, Mohammad Morsi na kudai kuwa, hatua hiyo ni kwa maslahi ya taifa.
-
Misri: Mgogoro wa Syria utatuliwe kupitia mazungumzo
Feb 18, 2016 04:30Rais wa Misri amesema njia bora ya kutatua mgogoro wa Syria ni kupitia mazungumzo na wala sio nguvu za kijeshi.