-
Misri yafunga tena kivuko cha Rafah
Feb 17, 2016 03:41Misri imefunga tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina walio chini ya mzingiro huko Ghaza.
-
Katibu Mkuu wa zamani wa UN afariki dunia
Feb 17, 2016 00:06Mwanasiasa wa Misri Boutros Boutros-Ghali aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuanzia mwaka 1992 hadi 1996 amefariki dunia.
-
Kuendelea ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Misri
Feb 16, 2016 04:16Katika hali ambayo siku ya tarehe 11 ya mwezi huu wa Februari wananchi wa Misri waliadhimisha mwaka wa tano tangu aliyekuwa rais wa nchi hiyo dikteta Hosni Mubarak alipoondolewa madarakani, serikali ya Rais wa sasa Abdel Fattah el Sisi ingali inaendelea kukiuka haki za binadamu na hasa hasa dhidi ya wafuasi wa Ikhwanul Muslimin.
-
Wanafunzi wa chuo cha polisi watimuliwa Misri, kisa wana uhusiano na Ikhwani
Feb 15, 2016 11:43Serikali ya Misri imewatimua shule makumi ya wanafunzi wa Chuo cha Poilisi ya nchi hiyo kwa tuhuma ya kuwa na uhusiano na kundi la Ikhwanul Muslimin.
-
Daesh 40 wauawa Sinai, Misri
Feb 11, 2016 00:23wapiganaji zaidi ya 40 wa kundi la kigaidi la Daesh wameuawa huko kaskazini mwa Sinai nchini Misri.
-
Ikhwanul Muslimin 19 wahukukiwa kifungo cha maisha jela, Misri
Feb 09, 2016 23:52Mahakama moja ya Misri imewahukumu kifungo cha maisha jela wanachama 19 wa harakati ya Ikhwanul Muslimin.
-
Misri kutumia JCPOA kuishinikiza Israel ijiunge na NPT
Feb 09, 2016 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 maarufu kama JCPOA yanatoa fursa ya kipekee kwa serikali ya Cairo kuushinikiza utawala haramu wa Israel kujiunga na mkataba wa NPT unaozuia utengenezaji, usambazaji na utumiaji wa silaha za atomiki.
-
Bunge la Misri lakosolewa kwa kuunga mkono serikali ya al Sisi
Feb 08, 2016 04:47Mwanasiasa mwandamizi wa Misri amelikosoa Bunge la nchi hiyo akisema Wamisri hawana matumaini na bunge hilo kutokana na misimamo yake ya kuiunga mkono serikali ya Jenerali Abdul Fattah al Sisi.
-
UN: Somalia, Misri, Ethiopia zaongoza kwa ukeketaji
Feb 06, 2016 04:15Umoja wa Mataifa umesema utamaduni wa kuwakeketa wasichana wadogo na wanawake umeongezeka kwa kiwango kikubwa katika nchi mbali mbali duniani, licha ya kampeni za kupiga vita jambo hilo.
-
Mahakama ya Misri yafuta hukumu ya kifo dhidi ya wapinzani 149
Feb 03, 2016 10:51Mahakama ya Rufaa nchini Misri imefuta hukumu ya kifo iliyokuwa imetolewa hapo awali dhidi ya wapinzani 149 wa serikali nchini humo.