-
Ubadhirifu mkubwa Marekani, kila mwaka Idara ya Hazina inalipa dola bilioni 100 kwa watu hewa
Feb 09, 2025 10:40Elon Musk, Mkuu wa Ofisi ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE) amesema kuwa, Idara ya Hazina ya nchi hiyo imegubikwa na ubadhirifu mkubwa na kwamba kila mwaka inalipa watu hewa dola bilioni 100 za Kimarekani.
-
Imam Khamenei: Ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina
Feb 06, 2025 13:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kkiislamu ya Iran amesema kuwa, ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina.
-
"Marekani ni aina mbaya zaidi ya Uistikbari", andiko jipya kwenye ukurasa wa X wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 26, 2025 12:02Akaunti ya mtandao wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya khamenei.ir imetoa mjibizo kwa lugha ya Kihispania yenye hashtag GolfoDeMéxico kujibu hatua ya Marekani ya kulibadilsha jina Ghuba ya Mexico.
-
Gaza imeshinda: Watumiaji wa mitandao ya kijamii wazungumzia usitishaji mapigano Gaza
Jan 16, 2025 11:17Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamezungumzia habari ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Hamas na Israel katika Ukanda wa Gaza kwa hisia mchanganyiko za furaha na matumaini ya mustakbali mwema.
-
Iran ina silaha ambazo adui hana taarifa nazo kabisa
Jan 13, 2025 06:57Kamanda mmoja wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ina silaha ambazo hazijafichuliwa hadi sasa na wala adui hana taarifa zozote kuhusu silaha hizo.
-
Araghchi: Tutashirikiana na serikali mpya ya Lebanon
Jan 11, 2025 10:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza wananchi wa Lebanon kwa kupata rais mpya na kusema: Tutashirikiana na serikali yoyote itakayowakilisha matakwa ya wananchi wa Lebanon.
-
Kutoka makundi yenye uhusiano na NATO hadi makundi ya muqawama Palestina
Jan 02, 2025 15:16Parstoday- Mhadhiri wa Chuo Kikuu wa Iran na mwanaharakati wa mtandao wa kijamii wa X ameandika ujumbe katika ukurasa wake na kueleza mgawanyiko wa makundi yenye uhusiano na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) na makundi ya muuqawama.
-
Kuzaliwa Isa Masih, ukumbusho wa kupigania uadilifu; Ujumbe wa pongezi wa Wairani watumiaji wa mtandao wa X
Dec 26, 2024 10:27Watumiaji Wairani wa mtandao wa kijamii wa X wamekutaja kuzaliwa Nabii Isa Masih (Yesu Kristo), amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake, kuwa ni ukumbusho wa maadili ya kiroho ya ubinadamu.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih
Dec 26, 2024 06:54Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as).
-
Chuo kikuu cha Daystar Kenya chafuta mkataba na 'Israel' baada ya malalamiko ya umma
Dec 19, 2024 07:00Siku mbili tu baada ya Chuo Kikuu cha Daystar cha Kenya kutia saini mkataba na ubalozi wa utawala Israel jijini Nairobi kuanzisha 'Msitu wa Zion' kwenye chuo chake, taasisi hiyo imebatilisha uamuzi wake kufuatia hasira za wananchi katika mitandao ya kijamii hasa X.