-
Iran ina silaha ambazo adui hana taarifa nazo kabisa
Jan 13, 2025 03:27Kamanda mmoja wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ina silaha ambazo hazijafichuliwa hadi sasa na wala adui hana taarifa zozote kuhusu silaha hizo.
-
Araghchi: Tutashirikiana na serikali mpya ya Lebanon
Jan 11, 2025 07:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza wananchi wa Lebanon kwa kupata rais mpya na kusema: Tutashirikiana na serikali yoyote itakayowakilisha matakwa ya wananchi wa Lebanon.
-
Kutoka makundi yenye uhusiano na NATO hadi makundi ya muqawama Palestina
Jan 02, 2025 11:46Parstoday- Mhadhiri wa Chuo Kikuu wa Iran na mwanaharakati wa mtandao wa kijamii wa X ameandika ujumbe katika ukurasa wake na kueleza mgawanyiko wa makundi yenye uhusiano na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) na makundi ya muuqawama.
-
Kuzaliwa Isa Masih, ukumbusho wa kupigania uadilifu; Ujumbe wa pongezi wa Wairani watumiaji wa mtandao wa X
Dec 26, 2024 06:57Watumiaji Wairani wa mtandao wa kijamii wa X wamekutaja kuzaliwa Nabii Isa Masih (Yesu Kristo), amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake, kuwa ni ukumbusho wa maadili ya kiroho ya ubinadamu.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih
Dec 26, 2024 03:24Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as).
-
Chuo kikuu cha Daystar Kenya chafuta mkataba na 'Israel' baada ya malalamiko ya umma
Dec 19, 2024 03:30Siku mbili tu baada ya Chuo Kikuu cha Daystar cha Kenya kutia saini mkataba na ubalozi wa utawala Israel jijini Nairobi kuanzisha 'Msitu wa Zion' kwenye chuo chake, taasisi hiyo imebatilisha uamuzi wake kufuatia hasira za wananchi katika mitandao ya kijamii hasa X.
-
Maoni ya watumiaji mitando kuhusu matumizi ya picha ghushi za magereza ya Syria
Dec 15, 2024 08:56Picha inayohusiana na Jumba la Makumbusho la Vita vya Vietnam, ambayo katika siku za hivi karibuni inaenea katika mitandao ikihusishwa na gereza la Saydnaya nchini Syria.
-
Iran yaipongeza IAEA kwa kukiri kuwa Israel ina silaha za nyuklia, yataka ilazimishwe kuharibu silaha hizo
Dec 13, 2024 00:11Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kimataifa na Kisheria amejibu hatua ya kukiri Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki kuhusu hatari za silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni, na kuutaka wakala huo ushughulikie silaha za nyuklia za Israel na sio kuusakama mradi wa matumizi ya amani wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ni kitu gani vyombo vya habari vya Magharibi vinakiita "uhuru"?
Dec 10, 2024 09:06Parstoday- Mtumiaji wa Iran wa mtandao wa kijamii wa X ameashiria nafasi na mchango wa vyombo vya habari vya magharibi katika matukio ya Syria katika ujumbe wake na kukosoa utendaji wao wa kindumakuwili kuhusiana na mafuhumu na maana ya uhuru.
-
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tehran: Syria ina machaguo matatu mbele yake
Dec 08, 2024 08:54Parstoday- Mhadhiri wa Chuo Kikuu na mwanaharakati wa kisiasa kwenye mtandao wa kijamii wa X ameashiria matukio ya hivi majuzi nchini Syria na kuusema: Kuna machaguo matatu kwa ajili ya mustakabali wa Syria.