Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mitandao ya kijamii

  • Kiongozi: Wahusika wote wa genge la magaidi wa Kizayuni lazima washtakiwe

    Kiongozi: Wahusika wote wa genge la magaidi wa Kizayuni lazima washtakiwe

    Nov 24, 2024 04:38

    Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehimiza kufunguliwa mashtaka maafisa wote wa kisiasa na kijeshi wa utawala wa kigaidi wa Israel kutokana na ukatili wao.

  • Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto

    Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto

    Nov 20, 2024 11:42

    Parstoday- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.

  • Kuuawa Mohammad Afif; kukiri Israel kwamba nguvu ya vyombo vya habari vya Hizbullah ni 'chungu'

    Kuuawa Mohammad Afif; kukiri Israel kwamba nguvu ya vyombo vya habari vya Hizbullah ni 'chungu'

    Nov 19, 2024 08:38

    Parstoday- Mtaalamu wa masuala ya kimataifa na mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa X, ameitambua hatua ya utawala wa Kizayuni kumuua shahidi "Mohammed Afif Al Nabulsi" aliyekuwa Mkuu wa vyombo vya habari vya Hizbullah ya Lebanon, ni ishara ya kuwa chungu operesheni za vyombo vya habari vya Hizbullah dhidi ya utawala huo.

  • Radiamali ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tehran kwa mashambulio ya Israel dhidi ya nyumba za Walebanon

    Radiamali ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tehran kwa mashambulio ya Israel dhidi ya nyumba za Walebanon

    Nov 19, 2024 06:33

    Pars Today- Mhadhiri mmoja wa Kiirani ameashiria mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Gaza na Lebanon na kusema kuwa, vyombo vya habari vya Magharibi ni washirika wa mauaji haya ya kimbari.

  • Gazeti maarufu la Guardian lajiondoa kwenye X kulalamikia hisia hasi na mielekeo ya ubaguzi

    Gazeti maarufu la Guardian lajiondoa kwenye X kulalamikia hisia hasi na mielekeo ya ubaguzi

    Nov 14, 2024 05:58

    Gazeti la The Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limetangaza kuwa litaacha kuweka maandiko yake kwenye X, mtandao wa kijamii uliokuwa ukijulikana kama Twitter.

  • Kwa mashinikizo ya Israel, X ilisimamisha akaunti ya Kiongozi Muadhamu na kuifungua  baada ya malalamiko ya watumiaji

    Kwa mashinikizo ya Israel, X ilisimamisha akaunti ya Kiongozi Muadhamu na kuifungua  baada ya malalamiko ya watumiaji

    Oct 30, 2024 07:14

    Parstoday- Baada ya kupita saa 24 za kuisimamisha akaunti ya Ayatullah Ali Khamenei katika mtandao wa kijamii wa X, ambao zamani ulijulikana kama Twitter, imefungua akaunti hiyo ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.

  • "Alidhihiri katika kipindi sahihi cha historia" shahid Nasrullah kwa mtazamo wa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X

    Oct 28, 2024 09:10

    Parstoday: Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma ujumbe mbalimbali kwenye mtandao huo kumsifu shahid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon.

  • "Njia ya kukomesha jinai, ni kwa Wazayuni kutawaliwa na khofu"; maoni ya mitandaoni ya Wairan kuhusu jinai za Israel

    Oct 28, 2024 09:09

    Pars Today-Watumiaji wa mtandao wa kijamii X wametuma jumbe mbalimbali kwenye mitandao ya intaneti kulaani jinai zinazofanywa utawala wa Kizayuni nchini Lebanon. Kufuatia jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni nchini Lebanon, tumeamua kutupia jicho hisia zilizoonyeshwa na mijibizo iliyotolewa na watumiaji wa mtandao wa X dhidi ya unyama na uhayawani wa utawala khabithi wa Kizayuni.

  • Mbunge wa Bunge la Ulaya: Marekani na waitifaki wake wanaendesha vita Ukraine kwa ajili ya viwanda vyao vya kijeshi

    Mbunge wa Bunge la Ulaya: Marekani na waitifaki wake wanaendesha vita Ukraine kwa ajili ya viwanda vyao vya kijeshi

    Oct 28, 2024 08:56

    Pars Today: Mbunge wa Ireland katika Bunge la Ulaya amesema kuwa, madola ya Ulaya na Marekani wamelipa uhai mpya shirika la kigaidi liitwalo NATO kupitia vita vya Ukraine.

  • Kukosolewa baadhi ya watetezi wa haki za binadamu kwa kupuuza haki za Wapalestina

    Kukosolewa baadhi ya watetezi wa haki za binadamu kwa kupuuza haki za Wapalestina

    Oct 28, 2024 08:40

    Mwanadiplomasia wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelalamikia kimya cha wanaharakati wa haki za binadamu kuhusu wananchi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS