-
Mawakili wa Morocco wahitimisha mgomo wao baada ya serikali kuunga mkono muswada wa marekebisho
Feb 17, 2026 03:33Mawakili nchini Morocco wamehitimisha mgomo wa wiki moja baada ya serikali kusimamisha muswada wa kudhibiti sekta ya sheria na kuunda tume iliyopewa jukumu la kuanzisha mazungumzo.
-
Mvua kubwa na mafuriko yaua watu 37 katika mji wa Safi, Morocco
Dec 15, 2025 23:22Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco leo JUmatatu imetangaza kuwa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa yamesababisha vifo vya takriban watu 37 katika mji wa pwani wa Safi nchini humo.
-
Wahajiri wa Kiafrika waaga dunia kwa baridi mpaka wa Morocco, Algeria
Dec 15, 2025 07:31Wahamiaji tisa wa Kiafrika wamepoteza maisha kutokana na baridi kali karibu na mpaka wa Morocco na Algeria.
-
Maandamano ya Tunisia na Morocco; dhihirisho la kuunga mkono Wapalestina barani Afrika
Oct 28, 2025 08:15Wimbi jipya la uungaji mkono kwa Wapalestina barani Afrika limekwenda sambamba na kulaani vitendo vya kijinai vya utawala haramu wa Israel.
-
Waandamanaji nchini Morocco: Tunahitaji zaidi hospitali kuliko viwanja vya soka
Oct 05, 2025 04:07Makabiliano makali yanaripotiwa kutokea baina ya waandamanaji na vyombo vya usalama nchini Morocco.
-
Gen-Z wa Morocco waendelea kuandamana wakitaka kuboreshwa elimu, afya
Sep 30, 2025 23:03Maandamano yanayoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen-Z ya kushinikiza kuboreshwa huduma hospitalini na shuleni yameenea katika miji mbali mbali ya Morocco.
-
Watu wa Afrika walaani jinai za utawala wa Israel dhidi ya Yemen na Gaza
Sep 05, 2025 06:54Wananchi wa nchi kadhaa za Afrika wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Yemen na Gaza, wakionesha mshikamano wa wazi na harakati za ukombozi wa Wapalestina.
-
Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?
Sep 02, 2025 23:02Wananchi wa baadhi ya nchi za Kiafrika wamefanya maandamano makubwa kujibu jinai za Israel za kuishambulia Yemen na kuendelea jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Maelfu ya Wamorocco waandaamana kupinga kutia nanga meli za Israel
Aug 04, 2025 04:07Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika bandari kubwa zaidi ya nchi hiyo huko Tanger Med kaskazini mwa nchi hiyo kupinga kutia nanga meli zilizobeba silaha za Israel.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani jinai za Israel
Jul 20, 2025 08:52Maelfu ya wananchi wa Morocco waliingia mitaani jana Jumamosi kushiriki maandamano ya kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, sanjari na kulaani kampeni ya mauaji ya kimbari ya Israel, ambayo ipo katika mwezi wake wa 21 sasa.