-
Maandamano ya kulaani jinai za Israel yaendelea kufanyika nchini Morocco
Aug 10, 2024 02:32Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la Israel huko Gaza.
-
Morocco yasaini mkataba wa dola bilioni 1 na Israel inayoua watoto Gaza
Jul 12, 2024 03:03Kama mojawapo ya hatua za kupanua na kuimarisha uhusiano wake na Israel, Morocco imesaini mkataba wenye thamani ya dola bilioni moja na Tel Aviv; wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni unaendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Watunisia waandamana mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Tunis dhidi ya Israel
Mar 12, 2024 07:41Wananchi wa Tunisia jana waliandamana mbele ya ubalozi wa Marekani huko Tunis mji mkuu wa Tunisia kulaani mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Morocco: Gaza inashuhudia janga la kuogofya la kibinadamu
Feb 28, 2024 06:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amesema Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na 'janga la kibinadamu' wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wa Gaza
Nov 08, 2023 07:10Wananchi wa Morocco kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano ya kuwanga mkono wananchi wa Palestina ambao wanakabiliwa na hujuma na mashambulizi ya kikatili ya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano dhidi ya Wazayuni yashtadi, Israel yafunga balozi zake Rabat, Cairo
Oct 20, 2023 02:58Maandamano yanayoendelea kushuhudiwa katika nchi mbalimbali duniani kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, yameilazimisha Tel Aviv kuwahimisha wafanyakazi wa balozi zake katika nchi za Misri na Morocco.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kupinga uhusiano wa kawaida na Israel
Oct 07, 2023 07:26Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Morocco wamefanya maandamano ya kupinga hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel; uhusiano ambao kwa sasa umefikisha mwaka mmoja.
-
Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu
Sep 10, 2023 10:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutuma misaada ya kibinadamu nchini Morocco, kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoua maelfu ya watu.
-
"Mzozo wa Sahara Magharibi haujafumbuliwa kutokana na unafiki wa Magharibi"
Jun 03, 2023 01:33Mwanaharakati mmoja wa kisiasa amesema kadhia ya Sahara Magharibi haijapatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu sasa kutokana na unafiki wa nchi za Magharibi.
-
Mwanasiasa wa Morocco: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni usaliti
May 08, 2023 06:25Mmoja wa viongozi wa kisiasa wa harakati za mrengo wa kushoto nchini Morocco ametangaza kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni khiyana na usalitii mkubwa kwa sasa na kwa baadaye kwa Morocco na taifa lolote lile la Kiarabu.