-
"Mzozo wa Sahara Magharibi haujafumbuliwa kutokana na unafiki wa Magharibi"
Jun 03, 2023 01:33Mwanaharakati mmoja wa kisiasa amesema kadhia ya Sahara Magharibi haijapatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu sasa kutokana na unafiki wa nchi za Magharibi.
-
Mwanasiasa wa Morocco: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni usaliti
May 08, 2023 06:25Mmoja wa viongozi wa kisiasa wa harakati za mrengo wa kushoto nchini Morocco ametangaza kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni khiyana na usalitii mkubwa kwa sasa na kwa baadaye kwa Morocco na taifa lolote lile la Kiarabu.
-
Morocco yawaonya wanaokosoa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Mar 15, 2023 02:23Kasri ya mfalme wa Morocco imekitaka chama kikubwa zaidi cha Kiislamu nchini humo cha PJD kiache kutoa taarifa za kukosoa na kupinga hatua ya Rabat ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Morocco kutomrejesha Saudia mwanaharakati wa nchi hiyo
Feb 09, 2023 07:59Baadhi ya mashirika ya kutetea haki za binadamu yamemtaka Waziri Mkuu wa Morocco kutomrudisha nchini kwake mwanaharakati wa Saudia, Hassan al-Rabea.
-
Zaidi ya 100 watiwa mbaroni Ufaransa katika hekaheka za ushindi wa soka dhidi ya Morocco
Dec 15, 2022 07:15Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa zaidi ya watu mia moja wametiwa mbaroni mjini Paris baada ya timu ya soka ya nchi hiyo kuishinda Morocco katika nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar.
-
Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco
Dec 11, 2022 11:10Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewashambulia wananchi wa Palestina waliokuwa wamekusanyika kusherehekea ushindi wa Morocco katika mchuano wa robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea kushuhudiwa nchini Qatar.
-
Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina
Dec 07, 2022 13:52Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa "Twitter" ambapo ameipongeza Morocco kwa ushindi wa timu ya kandanda ya nchi hiyo dhidi ya Uhispania hiyo jana na kufuzu kuingia robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar.
-
Morocco yazuia wahajiri 56,000 kwenda Ulaya kupitia Mediterania
Nov 14, 2022 11:07Mamlaka za Morocco zimetangaza kuwa zimezima majaribio ya makumi ya maelfu ya wahamiaji haramu waliojaribu kuvuka bahari ya Mediterania kuelekea Ulaya.
-
Maelfu ya Wamorocco waandamana kuliunga mkono taifa la Palestina
Oct 15, 2022 11:18Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano ya kutangaza uungaji mkono wao kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina na msimamo wao imara wa kuihami Baytul Muqaddas na Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Nasser Kan'ani: Morocco iwajibike kwa madhara ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu
Oct 05, 2022 07:08Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amemwambia Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Morocco kwamba anapaswa kuwajibishwa kutokana na ukosefu wa usalama unaotokana na kuanzisha uhusiano baina ya nchi hiyo na na utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendelea kuua watu wa Palestina na kukalia kwa mabavu kibla cha kwanza cha Waislamu.