-
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lakutana Morocco
Jun 25, 2019 13:00Mkutano wa 12 wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika unaendelea mjini Skhirat nchini Morocco.
-
Wamorocco waandamana kupinga mkutano wa Bahrain wa kuangamiza kadhia ya Palestina
Jun 24, 2019 06:33Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa kupinga mkutano wa kufungua mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne wa kuangamiza kadhia ya Palestina uliopangwa kufanyika kesho na keshokutwa Jumatano katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
-
Zaidi ya nusu ya wanawake nchini Morocco wanakabiliwa na ukatili
May 16, 2019 06:31Uchunguzi rasmi uliotangazwa nchini Morocco unaonyesha kwamba, zaidi ya nusu ya wanawake wa nchi hiyo wanakumbwa na ukatili dhidi yao.
-
Wahajiri 16 wa Kiafrika waaga dunia katika ajali ya barabarani Morocco
Apr 28, 2019 07:14Kwa akali wahajiri 16 wanaotoka katika nchi za eneo la chini ya Jangwa la Sahara wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Melilla, kaskazini mwa Morocco.
-
Maelfu waandamana Morocco wakitaka kuachiliwa huru wanaharakati
Apr 22, 2019 07:10Maelfu ya wananchi wa Morocco wameandamana Jumapili katika mji wa Rabat wakitaka serikali iwaachilie huru wanaharakati ambao waliongoza maandamano ya kulalamikia matatizo ya kiuchumi na kijamii katika eneo la Rif Kaskazini mwisoni mwa mwaka 2016 na 2017.
-
Mustapha al-Khalfi: Hakuna mpango wa Benjamin Netanyahu kuitembelea Morocco
Feb 22, 2019 08:05Serikali ya Morocco imekanusha taarifa za kuweko safari ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel katika nchi hiyo na kusema kuwa, habari hizo ni uvumi mtupu.
-
Morocco, Saudia na Imarati zaingia katika ugomvi mkubwa, Rabat yawaita nyumbani mabalozi wake
Feb 10, 2019 01:16Morocco, Saudia na Imarati zimeingia katika ugomvi mkubwa na kuifanya serikali ya Rabat iwaite nyumbani mabalozi wake kutoka Abu Dhabi na Riyadh.
-
Morocco yajitoa kwenye muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen
Feb 08, 2019 06:56Maafisa wa serikali ya Morocco wametangaza kuwa nchi hiyo imesita kushiriki kijeshi katika kile kinachoitwa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen na imechukua hatua ya kumwita balozi wake wa mjini Riyadh.
-
UN yapinga madai ya Morocco kuhusu Polisario
Jan 14, 2019 07:16Umoja wa Mataifa umepinga madai ya Morocco ya kwamba Harakati ya Polisario ya ukombozi wa Sahara Magharibi imevunja makubaliano ya kusimamisha vita na kusisitiza kuwa, hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa Polisario imevunja makubaliano hayo.
-
Morocco yawatia nguvuni walioua watalii wa Norway na Denmark
Dec 22, 2018 15:18Serikali ya Morocco imewatia nguvuni watu 9 wanaotuhumiwa kuwa ndio waliwaua wataali wawili wa kike kutoka nchi za Denmark na Norway.