-
Jitihada za kuboresha hali za wahajiri duniani
Dec 11, 2018 02:35Mkutano wa kimataifa wa uhajiri ulianza jana Jumatatu ya tarehe 10 Desemba nchini Morocco katika hali ambayo, mazingira na hali isiyoridhisha ya kisiasa, kijamii na kiuchumi, pamoja na kukosekana usalama katika nchi mbalimbali duniani hususan za mabara ya Afrika na Amerika ya Latini na maeneo mengine kadhaa ya bara la Asia vimesababisha kuongezeka wimbi la wahajiri duniani.
-
Nchi zaidi ya 150 zapasisha Mkataba wa Kimataifa wa Wahajiri licha ya upinzani wa Marekani
Dec 10, 2018 15:16Zaidi ya nchi 150 duniani zimeunga mkono rasmi Mkataba wa Kimataifa wa Wahajiri katika mkutano unaofanyika nchini Morocco licha ya upinzani mkubwa wa Marekani.
-
Kutofanikiwa mazungumzo ya Morocco na Harakati ya Polisario mjini Geneva; sababu na mustakabali
Dec 09, 2018 07:52Kikao cha Morocco na Harakati ya Polisario kuhusu hitilafu za eneo la Sahara Magharibi kimefanyika mjini Geneva Uswisi chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa na kilimalizika bila natija.
-
Miili ya wahajiri 15 yapatikana ndani ya boti katika bahari ya Mediterania
Nov 25, 2018 08:15Maiti za wahajiri 15 wa Kiafrika zimepatikana na jeshi la majini la Morocco, zikiwa ndani ya boti iliyokuwa ikielea katika bahari ya Mediterania.
-
Algeria na Mauritania zakutana kuzungumzia Sahara Magharibi
Oct 23, 2018 03:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Algeria na Mauritania wameitisha kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya Sahara Magharibi inayopigania uhuru wake kutoka kwa Morocco.
-
Morocco yazuia maelfu ya wahajiri haramu kutumia ardhi ya nchi hiyo
Sep 08, 2018 01:23Viongozi wa Morocco wametangaza kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu hadi hivi sasa, serikali ya nchi hiyo imefanikiwa kuzuia wahajiri haramu 54 elfu kutumia ardhi ya nchi hiyo kuelekea barani Ulaya.
-
Iran yaibuka mshindi katika mechi ya Kombe la Dunia na Morocco
Jun 15, 2018 17:14Timu ya Taifa ya Soka ya Iran imeibuka mshindi wa bao moja kwa nunge katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Dunia na Morocco nchini Russia mjini St. Petersburg.
-
Qassemi: Tuhuma za Morocco dhidi ya Iran zinalenga kuufurahisha upande wa tatu
May 24, 2018 14:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: kitendo cha viongozi wa Morocco cha kushupalia na kukariri madai ya uongo kwa ajili ya kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Iran na kuendelea kila mara kuzusha tuhuma zisizo na msingi hakufanyiki kwa lengo jengine zaidi ya kutaka kuzifurahisha baadhi ya pande za tatu.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani
May 21, 2018 07:57Makumi ya maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika mji wa Dār al-Bayḍā (Casablanca) kulaani hatua ya Marekani ya kuuhamishia Quds ubalozi wake uliokuweko Tel Aviv, mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
UN yazitaka Morocco na Polisario kuvumiliana
May 20, 2018 14:22Mgogoro baina ya serikali ya Morocco na harakati ya Polisario inayopigania uhuru wa eneo la Sahara Magharibi umemlazimisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuzitaka pande hizo mbili kustahamiliana na zijiepushe na jambo lolote linaloweza kuzusha machafuko katika eneo hilo.