Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Morocco

  • Qassemi: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA, itapata pigo kubwa

    Qassemi: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA, itapata pigo kubwa

    May 07, 2018 15:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA, basi madhara yake yataikumba Washington yenyewe kabla ya upande mwingine wowote.

  • Iran: Madai ya Morocco kuwa tunaiunga mkono Polisario hayana msingi

    Iran: Madai ya Morocco kuwa tunaiunga mkono Polisario hayana msingi

    May 02, 2018 15:24

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha vikali madai yaliyotolewa na serikali ya Morocco kwamba Tehran inawapatia misaada wapiganaji wa harakati ya Polisario inayopigania kujitenga eneo la Sahara Magharibi.

  • Serikali ya Morocco yatoa sharti kwa POLISARIO la mazungumzo kwa ajili ya Sahara Magharibi

    Serikali ya Morocco yatoa sharti kwa POLISARIO la mazungumzo kwa ajili ya Sahara Magharibi

    Apr 28, 2018 16:12

    Mwakilishi wa Morocco katika Umoja wa Mataifa amesema Harakati ya Ukombozi wa Sahara Magharibi POLISARIO itaweza kushiriki kwenye mazungumzo na mchakato wa kisiasa kwa sharti kwamba iondoke kwenye eneo la uzio wa Sahara Magharibi.

  • Morocco yaondoa ndege zake za kivita katika muungano wa Saudia dhidi ya Yemen

    Morocco yaondoa ndege zake za kivita katika muungano wa Saudia dhidi ya Yemen

    Apr 16, 2018 04:11

    Morocco inapanga kuondoa ndege zake za kivita zilizoko katika muungano wa Saudi Arabia ambao umekuwa ukiihujumu Yemen kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

  • Spika wa Bunge la Morocco alaani ukatili wa Israel Ukanda wa Gaza

    Spika wa Bunge la Morocco alaani ukatili wa Israel Ukanda wa Gaza

    Apr 06, 2018 04:35

    Spika wa Bunge la Morocco amesema kuwa vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

  • Morocco yaitaka UN na Algeria kubeba dhima ya harakati za Polisario

    Morocco yaitaka UN na Algeria kubeba dhima ya harakati za Polisario

    Apr 05, 2018 07:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco ameutaka Umoja wa Mataifa na taifa la Algeria kubeba dhima ya mashambulizi ya Harakati ya Kupigania Ukombozi wa Sahara Magharibi Polisario.

  • Morocco kuimarisha ulinzi mipakani kukabiliana na magendo ya binadamu na ugaidi

    Morocco kuimarisha ulinzi mipakani kukabiliana na magendo ya binadamu na ugaidi

    Feb 18, 2018 15:56

    Vyombo vya habari vya nchini Morocco vimetangaza kuwa, Rabat ina nia ya kuanzisha vituo 10 vipya vya kusimamia na kudhibiti maeneo ya mpakani mwa nchi hiyo na Algeria.

  • Makumi ya miili ya wahajiri yapatikana katika pwani ya Morocco

    Makumi ya miili ya wahajiri yapatikana katika pwani ya Morocco

    Feb 04, 2018 16:35

    Serikali ya Uhispania imetangaza habari ya kupatikana kwa makumi ya maiti za wahajiri katika maji ya pwani ya Morocco.

  • Mpango wa kuwarejesha nyumbani wahajiri wa Morocco kutoka Libya kutekelezwa

    Mpango wa kuwarejesha nyumbani wahajiri wa Morocco kutoka Libya kutekelezwa

    Dec 17, 2017 14:22

    Wahajiri 236 raia wa Morocco wiki ijayo wataanza kurejea nchini kwao.

  • Afrika Kusini na Morocco kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia

    Afrika Kusini na Morocco kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia

    Dec 03, 2017 14:33

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo itafufua uhusiano wa kidiplomasia na Morocco, baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja tangu nchi hiyo ya Kiarabu imuondoe balozi wake mjini Pretoria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS