-
Mamia waandamana Morocco kutaka kuachiwa huru wanaharakati
Oct 09, 2017 04:43Mamia ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Casablanca, kushinikiza kuachiwa huru wanaharati wa nchi hiyo waliokamatwa katika maandamano mengine mwaka mmoja uliopita katika mji mmoja ulioko kaskazini mwa nchi, ambao wakazi wake wanadai kutengwa na kubaguliwa.
-
Mfalme wa Morocco asisitiza kushiriki vyema nchi hiyo katika AU
Aug 21, 2017 11:18Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco amesema kuwa, kujiunga tena nchi hiyo katika Umoja wa Afrika (AU) ni hatua muhimu na yenye taathira.
-
Mwanahistoria wa Israel afichua namna MOSSAD ilivyowaua Mayahudi wa Morocco
Aug 01, 2017 22:14Mwanahistori mmoja wa Israel ametangaza kuwa, shirika la ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD llilifanya jinai kubwa kuwalenga Mayahudi wa Morocco kwa lengo la kuwashawishi Mayahudi hao waelekee huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Mfalme wa Saudia afuja mamilioni ya dola za mafuta kwa starehe mapumzikoni Morocco
Jul 30, 2017 10:44Safari ya Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia anayeandamana na msafara wa watu elfu moja nchini Morocco kwa ajili ya mapumziko imezusha gumzo kubwa katika vyombo vya habari vya nchi hiyo hususan katika kuchunguza kiwango cha fedha zinazofujwa na ukoo wa kifalme wa Aal Saud katika safari hiyo.
-
Kuendelea mgogoro na maandamano ya wananchi nchini Morocco
Jul 23, 2017 22:04Katika muendelezo wa machafuko na malalamiko ya wananchi nchini Morocco, askari usalama wa nchi hiyo wamewatia nguvuni makumi ya raia wa nchi hiyo katika mji wa Al Hoceima.
-
Gazeti la Quds al-Arabi: Mgogoro wa Morocco hautatatuliwa kijeshi
Jun 27, 2017 10:37Mtandao wa habari wa gazeti la Quds al-Arabi limeandika kuwa, mgogoro wa malalamiko ya raia wa eneo la kaskazini mwa Morocco, hauwezi kutatuliwa kwa kutumia mabavu, bali utatatuliwa kwa kutekeleza malalamiko ya wananchi.
-
Mfalme wa Morocco akosa kuhudhuria mkutano wa ECOWAS kwa ajili ya Netanyahu
Jun 04, 2017 02:49Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco amekosa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) unaofanyika leo nchini Liberia kwa kuwa unahudhuriwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Wananchi wa Morocco waendeleza maandamano
Jun 03, 2017 10:40Polisi Morocco wamepambna na waandamanaji wanaoipinga serikali katika eneo la Rif, ambalo limekumbwa na maandamano ya siku kadhaa ya wananchi wanapinga kukamatwa mwanaharakati maarufu.
-
Maandamano Morocco kupinga polisi kumsaka mwanaharakati
May 29, 2017 03:01Mamia ya watu wameandamana katika mji wa al-Hoceima kaskazini mwa Morocco kupinga hatua ya polisi kumsaka mwanaharakati na kutiwa mbaroni waandamanaji 20 siku chache zilizopita.
-
Wanaharakati Morocco waunga mkono mgomo wa kula wa mateka Wapalestina
May 08, 2017 22:58Wanaharakati 1,500 nchini Morocco wametangaza kufungamana kwao na Wapalestina mateka waliogoma kula ambao wanashikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel.