-
Wamorocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wanaosusia kula
May 02, 2017 23:15Wananchi wa Morocco wamefanya maandaamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Rabat, kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.
-
Morocco yakaribisha azimio la Baraza la Usalama la UN kuhusu Sahara Magharibi
Apr 29, 2017 23:05Serikali ya Morocco imekaribisha azimio lililopitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Sahara Magharibi.
-
Morocco yaituhumu Algeria kuwatesa wakimbizi wa Syria
Apr 23, 2017 03:24Serikali ya Morocco imeilaumu Algeria kwa kuwazingira wakimbizi wa Syria katika "mazingira yasiyo ya kibinadamu" kwenye mpaka wa kusini mwa Algeria.
-
Morocco yafungua rasmi ubalozi wake nchini Rwanda
Apr 15, 2017 03:25Uhusiano wa pande mbili wa Morocco na Rwanda unatazamiwa kuimarika baada ya serikali ya Rabat kufungua rasmi ubalozi wake mjini Kigali.
-
Hatimaye serikali mpya ya mseto Morocco yaundwa
Apr 06, 2017 03:19Hatimaye serikali ya mseto ya Morocco imeundwa na viongozi kutoka vyama sita vyenye viti vingi bungeni ikiwa ni baada ya mkwamo wa kisiasa wa miezi sita.
-
Kuundwa serikali ya mseto ili kutanzua mkwamo wa kisiasa nchini Morocco
Mar 26, 2017 22:13Baada ya miezi kadhaa ya mvutano wa kisiasa nchini Morocco, hatimaye Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametangaza habari ya kuundwa serikali ya mseto.
-
Morocco yakubali kuunda serikali ya mseto kufumbua mkwamo wa kisiasa
Mar 26, 2017 02:01Waziri Mkuu mpya wa Morocco, Saadu Din al-Othmani amekubali kuunda serikali ya mseto itakayojumuisha vyama vingine vitano vya siasa , kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa muda wa mrefu wa kisiasa nchini humo.
-
UN yataka Morocco, Polisario kupunguza uhasama
Feb 26, 2017 04:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuendelea kwa mvutano kwenye ukanda unaotenganisha pande hasimu huko Sahara Magharibi.
-
Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu
Feb 15, 2017 12:28Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
-
Wanachama watatu wa Daesh watiwa mbaroni Morocco
Feb 07, 2017 04:13Askari usalama wa Morocco wamewatia mbaroni wanachama watatu wa kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.