-
Morocco yatishia kuvunja uhusiano wa kiuchumi na EU
Feb 07, 2017 00:31Serikali ya Morocco imetishia kuvunja uhusiano wake wa kiuchumi na Umoja wa Ulaya (EU).
-
Morocco yasema haitaitambua Sahara Magharibi licha ya kurejea AU
Feb 06, 2017 04:10Serikali ya Rabat imesema katu haitatambua uhuru wa Jamhuri ya Sahara Magharibi licha ya Morocco kukubaliwa kurejea katika Umoja wa Afrika AU baada ya kuondoka zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
-
Mfalme wa Morocco aitembelea Sudan Kusini
Feb 02, 2017 03:48Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco yuko nchini Sudan Kusini katika ziara ya siku tatu iliyoanza jana Jumatano, siku moja baada ya nchi hiyo kurejea katika Umoja wa Afrika.
-
Morocco yarejea Umoja wa Afrika baada ya miaka 33
Jan 31, 2017 10:22Umoja wa Afrika AU umekubali tena uanachama wa Morocco baada ya miaka 33 wakati nchi hiyo ilijiondoa umoja huo kutokana na mgogoro wa Sahara Magharibi ambao hadi sasa haujatatuliwa.
-
Morocco kujua iwapo itarejea AU, wananchi waandamana dhidi ya serikali
Jan 30, 2017 04:17Katika hali ambayo Morocco inasubiri kujua iwapo ombi lake la kutaka kurejea katika Umoja wa Afrika litapata uungaji mkono au la katika mkutano wa AU huko Addis Ababa, wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu wamefanya maandamano wakilalamikia ufisadi wa serikali.
-
Morocco: Jammeh astaafu baada ya kumalizika muda wake wa urais
Jan 18, 2017 04:00Serikali ya Morocco imemtaka Rais Yahya Jammeh wa Gambia atumie fursa iliyopo kustaafu kwa amani baada ya kumalizika muhula wake wa uongozi.
-
Morocco yapiga marufuku uzalishwaji na uuzaji wa burqa
Jan 11, 2017 11:50Serikali ya Morocco imepiga marufuku uzalishaji na uuzaji wa vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Morocco yaanza kutekeleza mfumo wa Benki za Kiislamu
Jan 05, 2017 01:04Serikali ya Morocco imejiunga na mfumo wa Benki za Kiislamu kwa kuanzisha benki tano za Kiislamu nchini humo.
-
Nigeria na Morocco kujenga bomba la kusafirishia gesi
Dec 05, 2016 00:26Serikali za Nigeria na Morocco zimesaini hati ya makubaliano ya kujenga bomba la kusafirishia gesi ambalo litaziunganisha nchi mbili hizo pamoja na nchi nyingine za Afrika na bara Ulaya.
-
Wamorocco wataka uadilifu dhidi ya wauaji wa muuza samaki
Nov 20, 2016 12:13Kwa mara nyingine maelfu ya raia wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katika mji wa Al Hoceima kaskazini magharibi mwa nchi hiyo wakitaka kutekelezwa uadilifu katika faili la mauaji ya Mouchine Fikr, muuza samaki aliyeuawa mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.