-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu Morocco zataka bendera ya Israel ishushwe
Nov 10, 2016 04:45Jumuiya za kutetea haki za binadamu nchini Morocco zimekasirishwa na kitendo cha kupeperushwa bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika jumba la Mkutano wa Kimataifa wa Hali ya Hewa unaofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Jumuiya za haki za binadamu za Morocco zalalamikia kupeperushwa bendera ya utawala wa Kizayuni
Nov 09, 2016 23:31Jumuiya za Haki za Binadamu za nchini Morocco zimelalamikia kitendo cha kupeperushwa bendera ya utawala wa Kizayuni mahali kunakofanyika kikao cha kimataifa cha mabadiliko ya tabia nchi katia mji mkuu wa Morocco.
-
Machafuko yaibuka Morocco baada ya kuuawa muuza samaki
Oct 31, 2016 11:30Maelfu ya watu nchini Morocco wameandamana katika miji kadhaa baada ya muuza samaki kusagwa na kufa ndani ya lori za kuzoa takataka katika mji wa kaskazini wa Al Hoceima.
-
Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20
Oct 26, 2016 01:10Tanzania na Morocco zimesaini mikataba ya kushirikiana katika nyanja zaidi ya 20.
-
Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU
Oct 20, 2016 10:04Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ameanza ziara ya nchi tatu za Afrika Mashariki katika juhudi za kutafuta uungaji mkono wa kurejea nchi hiyo kuwa mwananchama wa Umoja wa Afrika, baada ya kujiondoa kwenye umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
-
Baraza la Taifa la Haki za Binadamu la Morocco lasifu uchaguzi wa bunge
Oct 09, 2016 23:14Baraza la Taifa la Haki za Binadamu la Morocco limesema kuwa kutokuwepo malalamiko na misimamo hasi kutoka kwa wapinzani kuhusu uchaguzi wa bunge wa hivi majuzi nchini humo ni ishara kwamba uchaguzi huo ulikuwa wa wazi na wa haki.
-
Chama cha Kiislamu Morocco chapata ushindi viti Bunge
Oct 08, 2016 04:34Chama cha Kiislamu cha Uadilifu na Maendeleo (PJD), ambacho kwa miaka mitano kimeongoza serikali ya mseto Morocco, kinatazamiwa kupata ushindi katika uchaguzi wa Bunge, matokeo ya awali yameonyesha.
-
Genge la wanawake wenye uhusiano na Daesh watiwa mbaroni Morocco
Oct 03, 2016 23:27Duru rasmi nchini Moroco zimearifu habari ya kutiwa mbaroni wanawake kumi wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh ambao walikuwa na lengo la kutekeleza mashambulizi ya kigaidi katika miji kadhaa nchini humo.
-
Morocco yaangamiza kundi la kigaidi linalofungamana na ISIS
Sep 07, 2016 23:27Wakuu wa Morocco wametangaza kufanikiwa kuangamiza kundi moja la kigaidi nchini humo.
-
Mfalme wa Morocco aweka wazi azma ya nchi hiyo kurejea AU
Jul 18, 2016 03:09Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ametangaza wazi azma ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ya kutaka kurejea katika Umoja wa Afrika AU, baada ya kuondoka katika umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.