-
Raia wa Italia anayeaminika kuwa Daesh akamatwa Morocco
Jun 13, 2016 15:20Vyombo vya usalama nchini Morocco vimesema kuwa vimemtia nguvuni raia wa Italia anayeaminika kuwa na mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Hatimaye Marekani yaiomba radhi serikali ya Morocco kwa ripoti yake ya hivi karibuni
May 22, 2016 07:20Marekani imeiomba rasmi msamaha serikali ya Morocco kufuatia ripoti yake ya hivi karibuni inayohusu masuala ya haki za binaadamu nchini humo.
-
UN yataka kuongezwa muda askari wake wa Sahara Magharibi
Apr 20, 2016 07:50Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuongezewa muda wa kuhudumu askari wa kulinda amani wa umoja huo katika eneo la Sahara Magharibi MINURSO, akionya kuwa, iwapo vikosi hivyo vitaondolewa kikamilifu, eneo hilo litakuwa katika hatari ya kushuhudia migogoro zaidi.
-
Mvutano katika uhusiano wa Morocco na Umoja wa Mataifa
Mar 24, 2016 07:47Baada ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kuuelezea uwepo wa vikosi vya Morocco katika eneo la Sahara Magharibi kuwa ni "ukaliaji wa mabavu", mivutano na mikwaruzano katika uhusiano wa umoja huo na Morocco imeongezeka kufikia hadi Umoja wa Mataifa kutangaza kuwa, kwa wito wa serikali ya Rabat, imefunga ofisi yake ya mawasiliano ya kijeshi katika eneo la Sahara Magharibi na kuwaondoa waangalizi watatu wa kijeshi waliokuwepo katika ofisi hiyo.
-
Morocco yaendelea kulalamika dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Mar 18, 2016 16:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco Salahuddin Mizwar, amesema nchi yake ina hitilafu na malalamiko dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa binafsi.
-
Morocco yazima shambulio la Daesh, magaidi kadhaa wakamatwa
Feb 21, 2016 16:01Morocco imesema kuwa imefanikiwa kuzima shambulio la kemikali lililokuwa limepangwa kufanywa na mtandao mmoja wa kigaidi unaohusishwa na kundi la kitakfiri la Daesh.