-
Njama ya 'genge la Netanyahu' ya kushambulia Masjidul Aqsa kwa makombora yatibuka
Mar 07, 2026 05:59Wizara ya Intelijensia ya Iran imefichua njama chafu iliyokuwa ikipikwa na genge la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ya kushambulia kwa makombora Msikiti wa al-Aqsa ili kuibua fitna katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Israel yaendelea kuwazuia Wapalestina kuswali Masjidul Aqsa
Feb 27, 2026 22:49Jeshi la Israel jana lilipeleka idadi kubwa ya wanajeshi katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, hasa katika vituo vya ukaguzi vinavyoelekea katika mji wa Quds (Jerusalem), sanjari na kuimarisha vizuizi dhidi ya Wapalestina waliotaka kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa kwa ajili ya Swala ya Ijumaa ya pili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Licha ya vizuizi vikali vya Israel, Wapalestina laki moja wasali I'sha na Tarawehe Masjidul-Aqsa
Feb 21, 2026 07:37Licha ya vizuizi vikali vilivyowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel vya kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa, makumi ya maelfu ya Wapalestina jana usiku walihudhuria katika msikiti huo mtukufu kusali Sala za I'sha na Tarawehe wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Israel yawazuia Wapalestina kuswali Ijumaa ya kwanza ya Ramadhani al-Aqsa
Feb 20, 2026 09:37Utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi vikali Wapalestina kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, kwa ajili ya Swala ya Ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, huku mamia ya watu wakipanga foleni kwenye kizuizi cha Qalandiya karibu na Ramallah wakitarajia kuingia.
-
Mufti wa Moscow: Kuingia waziri Mzayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni hatua ya kichochezi
Aug 06, 2025 00:25Naibu Mkuu wa Idara ya Masuala ya Dini ya Kiislamu ya Russia kwa ajili ya Masuala ya Kimataifa na Hija na Mufti wa Mkoa wa Moscow amesema: Waislamu wa Russia wanaitambua hatua ya Itamar Ben-Gvir ya kuvamia na kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa kuwa ya kichochezi.
-
Ben-Gvir awaruhusu walowezi wa Kizayuni kuimba na kudansi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 28, 2025 02:22Waziri maluuni wa mambo ya ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel Itamar Ben-Gvir ametoa ruhusa kwa walowezi haramu wa Kizayuni kuimba na kudansi kwenye eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu.
-
Jordan yawashutumu walowezi wa Israel kuingia kwa nguvu Al-Aqsa
Jun 03, 2025 23:17Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Wageni ya Jordan imelaani vikali vitendo vya mara kwa mara vya walowezi wa Kizayuni kuvamia Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Palestina: Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya chuki wanachochea Msikiti wa Al-Aqsa uripuliwe
Apr 20, 2025 02:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa indhari kutokana na kuongezeka uchochezi unaofanywa na makundi ya walowezi wa Kizayuni wa mrengo wa kulia wanaotaka kubomolewa Msikiti wa Al-Aqsa ulioko Baitul-Muqaddas Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
-
Walowezi 1000 wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na wanajeshi wa Israel
Apr 15, 2025 22:51Katika siku ya tatu ya sikukuu ya pasaka ya Kiyahudi, walowezi elfu moja wa Kizayuni, huku wakisindikizwa na kupewa ulinzi na wanajeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia eneo la Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu.
-
Waziri mlowezi wa Kizayuni avamia tena Msikiti wa Al-Aqsa, Wapalestina wazuiwa wasiingie kusali
Apr 02, 2025 08:00Duru za habari zimeripoti kuwa, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amevamia tena Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa huku akilindwa na kusindikizwa na vikosi vya usalama vya utawala huo ghasibu.