-
84% ya Misikiti ya Gaza imeharibiwa na mabomu ya Wazayuni
Aug 22, 2024 03:06Asilimia 84 ya Misikiti katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imeharibiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bagheri Kani: Uvamizi wa Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa unalenga kuzidisha mivutano
Aug 14, 2024 07:37Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uvamizi wa baadhi ya mawaziri wa serikali ya utawala bandia wa Israel na walowezi wa Kizayuni katika msikiti wa al Aqsa ni hatua ya kichochezi inayolenga kushadidisha mivutano na ukosefu wa amani katika eneo.
-
Utawala wa Kizayuni wamkamata Khatibu wa Msikiti wa al-Aqsa, kisa kutoa pole mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh
Aug 03, 2024 06:52Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya Shahidi Ismail Haniyeh.
-
Shambulio la wanajeshi wa Israel kwenye Msikiti wa Al-Aqsa
Jul 18, 2024 10:08Idara ya Wakfu wa Kiislamu ya Palestina katika mji wa Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala huo wamewazuia Waislamu kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kuvamia Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Wapalestina waswali Swala ya Iddi Masjidul Aqsa licha ya mbinyo
Jun 16, 2024 10:00Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Iddul Adh'ha iliyosaliwa leo kwenye Msikiti wa al-Aqsa mjini Baitul Muqaddas, licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
-
OIC yalaani 'maandamano ya bendera' ya Israel ya kusherehekea kuivamia Quds Mashariki
Jun 06, 2024 06:49Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani 'maandamano ya bendera' ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyofanyika jana Jumatano Baitul Muqaddas Mashariki kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuvamia na kuanza kuukalia kwa mabavu mji huo mwaka 1967.
-
Haniya: Kimbunga cha Al-Aqsa kimeanzia Gaza na kitafika hadi Ufukwe wa Magharibi
Oct 07, 2023 15:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: Kimbunga cha Al-Aqsa kimeanzia Gaza na kitafika hadi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, nje yake na popote pale walipo wananchi wa Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wauvamia Msikiti wa Al Aqswa kwa siku ya tano mfululizo
Oct 04, 2023 12:36Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya tano mtawalia Msikiti wa Al-Aqwsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Jordan yalaani Wazayuni kuuvamia tena Msikiti wa al-Aqsa
Oct 04, 2023 03:08Serikali ya Jordan imekosoa vikali hatua ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel kuwashambulia waumini wa Kipalestina, huku mamia ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali wakiingia kwa mabavu katika eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Wazayuni wauvamia tena Msikiti wa Al Aqsa kwa siku ya nne mfululizo
Oct 03, 2023 07:53Kundi kubwa la walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya nne mtawalia Msikiti wa Al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.