-
Nasrullah: Lazima Wazayuni waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na kibla cha kwanza cha Waislamu
Oct 03, 2023 06:40Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Umma wa Kiislamu unapaswa utekeleze wajibu wake kwa watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa, na akasisitiza kuwa: Wazayuni lazima waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
OIC yalaani ongezeko la hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Sep 20, 2023 02:22Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali vitendo vya hujuma za walowezi wa Kizayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Sep 19, 2023 02:31Sambamba na maadhimisho ya sikukuu za Kiyahudi, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi.
-
Msikiti wa al-Aqswa waendelea kuvamiwa na walowezi wa Kizayuni
Sep 13, 2023 11:12Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima.
-
Msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa taifa la Palestina
Sep 11, 2023 14:01Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS huko Quds iinayokaliwa kwa mabavu ameashiria vitendo vya Wazayuni vya kulivunjia heshima eneo hilo takatifu na kusisitiza kwamba, msikiti wa al-Aqswa utaendelea kuwa mstari mwekundu wa taifa la Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena kibla cha kwanza cha Waislamu
Sep 11, 2023 06:58Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 31, 2023 02:29Katika hatua zao zisizokoma, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 29, 2023 02:46Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Walowezi wa Kizayuni na mbunge wa zamani wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa
Aug 24, 2023 02:34Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakiwa pamoja na Mbunge wa zamani wa Bunge la Israel wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
OIC yatoa wito wa kulindwa Msikiti wa Al-Aqsa
Aug 23, 2023 02:36Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeisitiza umuhimu wa kulindwa hadhi ya kihistoria na kisheria ya maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo huko al-Quds (Jerusalem).