-
Al-Azhar yawataka Waislamu kuulinda Msikiti wa Al-Aqsa
Apr 09, 2023 11:28Taasisi ya Al-Azhar ya Misri imetoa wito kwa Waislamu wote kuulinda na kuutetea Msikiti wa Al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Qatar: Israel inabeba dhima ya kuenea vitendo vya utumiaji mabavu katika msikiti wa al-Aqswa
Apr 08, 2023 07:58Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unabeba dhima ya kuenea vitendo vya utumiaji mabavu katika msikiti wa al-Aqswa kutokana na hatua za kichochezi za utawala huo vamizi
-
Mufti wa Oman asisitiza udharura wa kuungwa mkono Wapalestina ili kuzuia hujuma za Wazayuni
Apr 07, 2023 02:21Mufti wa Oman ametoa amepinga vikali hujuma zinazoendelea kufanywa na Wazayuni dhidi ya raia wa Palestina katika Msikiti Mtukufu wa al Aqsa na ametaoa wito wa kuungwa mkono Palestina.
-
Palestina: Hatutakubali msikiti wa Al-Aqsa ugawanywe kimatumizi kwa wakati na eneo
Apr 06, 2023 07:25Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema: Hatutakubali msikiti wa Al-Aqsa ugawanywe kimatumizi kwa sura ya muda maalumu wa utumiaji na sehemu maalumu ya kutumia jambo ambalo wavamizi na walowezi wa Kizayuni wanapigania kulilazimisha liwe.
-
HAMAS: Damu za mashahidi zitalinda utambulisho wa msikiti wa al-Aqswa
Apr 01, 2023 09:22Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, damu mashahidi wa Palestina italinda utambulisho wa Kipalestina, Kiarabu na Kiislamu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
OIC na Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima msikiti wa al-Aqswa
Mar 30, 2023 07:43Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu zimelaani vikali hujuma za walowezi wa Kizayuni dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Askari wa Kizayuni wavamia al-Aqsa na kuwafukuza Waislamu
Mar 27, 2023 11:31Waumini wa Kiislamu wametimuliwa katika Msikiti wa al-Aqsa baada ya Wazayuni wenye misimamo mikali wakiwa wameandamana na askari wa utawala haramu wa Israel kulivamia eneo hilo tukufu la Waislamu.
-
HAMAS: Mapambano dhidi ya Israel yataendelea mpaka Aqsa ikombolewe
Mar 25, 2023 07:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mapambano yao kwa kushirikiana na makundi mengine ya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yataendelea hadi pale Msikiti wa al-Aqsa utakapokombolewa.
-
Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine wavamia msikiti wa al-Aqswa
Mar 09, 2023 02:36Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikkali wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa
Mar 06, 2023 07:34Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.