-
Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 04, 2023 04:03Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali hatua ya waziri Mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu ada kuvamia msikiti wa mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel
Dec 19, 2022 23:05Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 14, 2022 04:20Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Kombe la Dunia Qatar limeonyesha kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 03, 2022 23:08Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema, wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wanaoshuhudia mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar wamethibitisha kugonga mwamba mpango mchafu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.
-
Hamas: Wavamizi watateketea katika moto wa hujuma dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa
Dec 02, 2022 07:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewatahadharisha Wazayuni kuhusu kuendelea kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa na kuwatolea mwito Wapalestina kuhudhuria kwa nguvu zote na kwa mshikamano katika msikiti huo.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni hauwezi kubadili utambulisho wa Quds
Nov 16, 2022 22:53Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kubadili utambulisho wa kihistoria wa Quds tukufu.
-
Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa aonya kuhusiana na njama za Israel za kuiyahudisha Quds
Oct 24, 2022 04:10Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ameonya kuhusiana na njama za jeshi vamizi la Israel la kuuyahudisha mji wa Quds na kuudhibiti mji huo.
-
Walowezi wa Kiyahudi wandelea na hujuma na uvamizi wao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 29, 2022 21:54Kundi kubwa la walowezi wa Kiyahudi likisaidiwa na vikosi vya usalama vya utawala ghasibu wa Israel limeuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 10, 2022 23:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya tena kuhusiana na kuendelea vitendo vya kuuvamia na kuuhujumu msikiti wa al-Aqswa, vinavyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakipata himaya ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu
Aug 21, 2022 06:43Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa.