-
UNICEF: Watoto wameathiriwa zaidi na vita katika Ukanda wa Gaza
Jan 30, 2025 01:57Mfumo wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto ndio walioteseka na kuathirika zaidi na vita vya Gaza kkuliiko matabaka mengine katika Ukkanda huo.
-
Iran: Ni muhimu kuwepo mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon
Nov 20, 2024 11:43Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesisitiza umuhimu wa mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami na kuwasaidia wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Gaza imekuwa kaburi la watoto
Nov 20, 2024 08:08Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.
-
WHO: Hali ya watoto katika Ukanda wa Gaza ni mbaya
Nov 03, 2024 12:50Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza kufuatia kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Watoto wa Kipalestina wanasumbuliwa na utapiamlo mkali huko Gaza
Aug 27, 2024 02:12Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maelfu ya watoto katika Ukanda wa Gaza wanasumbuliwa na utapiamlo mkali kutokana na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katka eneo hilo na kuzuiwa bidhaa za chakula kuingia katika eneo hilo.
-
UNICEF: Ghaza imegeuzwa makaburi ya watoto, hakuna mwisho wa mateso wanayopata
Aug 09, 2024 10:10Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umetangaza kuwa, Ukanda wa Ghaza umegeuzwa makaburi ya watoto wa Kipalestina na hakuna mwisho wa machungu na mateso wanayopata watoto hao.
-
Ripoti: Gaza inakabiliwa na hatari kubwa ya njaa
Jun 26, 2024 07:23Eneo la Ukanda wa Gaza linakabiliwa na hatari kubwa ya baa la njaa ikiwa ni matokeo ya hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Watoto wa Gaza; wahanga wakuu wa jinai za utawala wa Kizayuni
Mar 16, 2024 11:16Kuchapishwa picha za vifo vya kutisha vya watoto wa Ukanda wa Gaza kutokana na njaa kwa mara nyingine tena kumepelekea kupuuziliwa mbali madai ya haki za binadamu yanayotolewa na nchi za Magharibi.
-
Hamas: Mauaji ya Wazayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina yatambuliwe kuwa ni uhalifu
Jun 05, 2023 10:56Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa wito wa kutambuliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina kuwa ni uhalifui na jinai, na kuwafungulia mashitaka wanaofanya jinai hizo.
-
2021; mwaka wa vifo vingi zaidi vya watoto wa Palestina katika kipindi cha miaka 7 iliyopita
Dec 20, 2021 10:03Tovuti moja ya habari ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeripoti kuwa, baada ya mwaka 2014 yaani wakati vilipotokea vita vya siku 51 na kuuawa shahidi idadi kubwa ya watoto wa Palestina, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya watoto wa Kipalestina waliouliwa shahidi na Israel.