-
Kushadidi ukatili wa polisi na kamatakamata kote Ufaransa
Feb 10, 2017 02:44Siku chache zilizopita maafisa wa polisi Ufaransa walimkamata mwanaume mwenye asili ya Afrika na kumpiga vibaya na baada ya hapo kumnajisi kwa kijiti sambamba na kumvunjia heshimana katika viunga vya mji wa Paris.
-
Waingereza wenye asili ya Afrika wanabaguliwa katika kazi za uhandisi
Dec 28, 2016 02:50Waingereza weusi au wenye asili ya Afrika wanakabiliwa na ubaguzi katika ajira ambapo wengi wananyimwa kazi kutokana na rangi yao.
-
Uchunguzi wa Pew: Wamarekani weusi, wahanga wa ubaguzi wa rangi
Jul 19, 2016 07:59Uchunguzi mpya wa maoni unaonesha kuwa, Wamarekani wengi weusi wanaamini kuwa ni wahanga wa ubaguzi wa rangi.
-
Ripoti: Idadi ya Wamarekani weusi wanaofungwa jela ni mara 5 zaidi ya Weupe
Jun 19, 2016 14:41Ripoti mpya imefichua kuwa Wamarekani wenye asili ya Afrika wako katika hatari ya kuburuzwa jela mara tano zaidi kuliko wenzao Weupe.
-
Uchunguzi: Wamarekani weusi wanauliwa na polisi kwa makusudi
Apr 08, 2016 03:28Matokeo ya uchunguzi mpya uliofanyika nchini Marekani yanaonesha kuwa vitendo vya polisi ya nchi hiyo vya kuwaua kwa kuwapiga risasi Wamarekani wenye asili ya Afrika tena wasio na silaha, vinaongezeka.
-
Mmarekani mweusi afukuzwa katika mkutano wa Trump
Mar 03, 2016 14:29Mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Dolad Trump amemfukuza mwanamke mmoja mweusi wa nchi hiyo katika mkutano wake wa kampeni.