Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Muamala wa Karne

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Baitul Muqaddas haitauzwa, si kwa amri ya Israel wala Marekani

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Baitul Muqaddas haitauzwa, si kwa amri ya Israel wala Marekani

    Oct 27, 2020 03:54

    Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa Quds tukufu haitauzwa, si kwa amri ya Israel, serikali ya Marekani wala nchi nyingine yoyote duniani.

  • Iran: Njia yoyote ya uchukuaji hatua inayopuuza matakwa ya taifa la Palestina ni batili

    Iran: Njia yoyote ya uchukuaji hatua inayopuuza matakwa ya taifa la Palestina ni batili

    Sep 19, 2020 00:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa: Njia yoyote ile ya uchukuaji hatua ikiwemo ya "Muamala wa Karne" ambayo haitatilia maanani matakwa ya taifa la Palestina ni batili.

  • Iran: Mpango wa

    Iran: Mpango wa "Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya utapeli wa Marekani

    May 21, 2020 01:29

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, mpango wa Marekani-Israel wa 'Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya hila na utapeli wa Wamarekani.

  • Harakati za Palestina na Russia wakubaliana kukabiliana na

    Harakati za Palestina na Russia wakubaliana kukabiliana na "Muamala wa Karne"

    Mar 18, 2020 02:54

    Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina zimekubaliana na Russia juu ya jinsi ya kukabiliana na mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili eti ya amani Mashariki ya Kati maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".

  • Russia na Hamas ya Palestina zajadili

    Russia na Hamas ya Palestina zajadili "Muamala wa Karne"

    Mar 03, 2020 03:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) wamekutana mjini Moscow na kujadili matukio ya Palestina.

  • HAMAS: Umoja wa Muqawama wa Palestina utaushinda 'Muamala wa Karne'

    HAMAS: Umoja wa Muqawama wa Palestina utaushinda 'Muamala wa Karne'

    Feb 26, 2020 09:23

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria jibu la wanamapambano wa Palestina dhidi ya mashambulio ya karibuni ya Wazayuni na kusisitiza kuwa: Muqawama utaushinda pia mpango wa Muamala wa Karne.

  • Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya

    Mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina, matunda ya mwanzo ya "Muamala wa Karne"

    Feb 24, 2020 08:52

    Ikiwa haujapita mwezi mmoja sasa tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipozindua rasmi mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne", utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha duru mpya ya vita na mashambulizi dhidi ya makundi na harakati za kupigania ukombozi za Palestina.

  • Papa Francis akosoa mpango wa Trump wa Muamala wa Karne

    Papa Francis akosoa mpango wa Trump wa Muamala wa Karne

    Feb 24, 2020 01:10

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, kwa njia isiyo ya moja kwa moja amekosoa mpango wa Rais Donald Trump wa Muamala wa Karne ambapo ameonya kuwa, mipango ya namna hiyo inayoegemea upande mmoja haiwezi kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na Israel.

  • Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya Muamala wa Karne

    Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya Muamala wa Karne

    Feb 19, 2020 04:48

    Baraza la Seneti la Pakistan limepasisha kwa kauli moja azimio la kulaani mpango wa Kimarekani wa Muamala wa Karne, likisisitiza kuwa njama hizo za Washigton zilizojaa hila zinakusudia kuwafanya Wapalestina wasalimu amri katika hali ya idhilali mbele madhalimu wao.

  • Baraza la Mamufti Russia: Waislamu waunde nguvu ya kukabiliana na mpango wa Muamala wa Karne

    Baraza la Mamufti Russia: Waislamu waunde nguvu ya kukabiliana na mpango wa Muamala wa Karne

    Feb 16, 2020 23:11

    Naibu Mkuu wa Baraza la Mamufti la Russia amesema kuwa Waislamu wanapasa kuwaunga mkono Wapalestina dhidi ya mpango wa Kimarekani wa Muamala wa Karne.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS