-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi nchini Myanmar
Feb 06, 2018 23:07Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuendelea mauaji ya kizazi yanayofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika nchi hiyo.
-
Kifungo cha miaka 14 jela chawasubiri waandishi wawili Myanmar kwa kufichua mauaji ya Waislamu
Feb 02, 2018 10:42Kifungo cha miaka 14 jela kinawasubiri waandishi wawili wa habari nchini Myanmar baada ya waandishi hao kufichua jinai za kutisha walizofanyiwa Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Ripoti: Waislamu wa Rohingya walimwagiwa asidi usoni kabla ya kuzikwa hai
Feb 01, 2018 10:37Makaburi matano mapya ya umati yamegunduliwa katika vijijini vya mkoa wa Rakhine nchini Myanmar, ambapo baadhi ya Waislamu wa Rohingya walimwagiwa tindikali katika nyuso zao kabla ya viwiliwili vyao kufukiwa wakiwa hai.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kurejeshwa kwa nguvu wakimbizi Waislamu wa Rohingya
Jan 29, 2018 10:23Umoja wa Mataifa umesema una wasiwasi mkubwa na suala la kufukuzwa kutoka Bangladesh wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar.
-
Washington Post: Marekani imehusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Myanmar
Jan 22, 2018 22:58Gazeti la Washingtion Post limeandika kuwa Marekani imehusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar.
-
Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar
Jan 19, 2018 10:23Mamia ya wakimbizi wa Kirohingya walioko nchini Bangladesh leo Ijumaa wamefanya maandamano wakipinga mpango wa kuwarejesha nchini Myanmar, ambako walikimbia mauaji na mashambulizi kutoka kwa jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.
-
San Su Kyi apongeza mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Jan 15, 2018 03:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Myanmar ambaye pia ni Mshauri Mkuu wa Serikali ya nchi hiyo amepongeza mauaji yanayofanyika dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.
-
Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar waendelea kufanyiwa ukatili
Jan 05, 2018 11:31Ukatili na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Myanmar unaendelea kuathiri maisha ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
Mashinikizo ya kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wa Myanmar ajiuzulu yaongezeka
Dec 30, 2017 00:55Kufuatia kuendelea hujuma na ukatili unaofanywa na jeshi la serikali ya Myanmar kwa kushirikiana na Mabudha magaidi dhidi ya Waislamu wa Rohingya, walimwengu wameendelea kutoa mashinikizo wakimtaka Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Aung San Suu Kyi kung'atuka madarakani.
-
Baraza Kuu la UN lalaani mauaji ya Mabudha dhidi ya Waislamu Myanmar
Dec 24, 2017 23:53Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio kwa wingi wa kura likilaani jinai na mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wa Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.