-
Ayatullah Khatami: Mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar, ni maafa makubwa ya kibinaadamu
Sep 15, 2017 09:27Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amesema kuwa, mauaji kuwalenga Waislamu wa Myanmar ni maafa makubwa ya kibinaadamu na kwamba, utawala haramu wa Israel unahusika nyuma ya pazia katika mauaji na kuwafanya malaki ya Waislamu kuwa wakimbizi.
-
Kamisheni ya Ulaya: Utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa Myanmar unasikitisha mno
Sep 14, 2017 23:19Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amelaani vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchini Myanmar na kuvitaja kuwa ni maafa ya kusikitisha mno.
-
Jumuiya ya Waislamu wa Suni Pakistan: Iran ndio muungaji mkono wa kweli kwa Waislamu wa Myanmar
Sep 14, 2017 00:07Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Suni nchini Pakistan amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni muungaji mkono wa kweli kwa Waislamu wa Rohingya wanaokandamizwa nchini Myanmar.
-
UN kusaidia Waislamu Warohingya waliokimbia Myanmar
Sep 13, 2017 03:18Idadi ya Waislamu wa jamii Warohingya ambao wanakimbia mateso na mauaji huko Myanmar inaongezeka kila uchao katika hali ambayo, mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau wao wanaendelea kuhakikisha wanafikisha misaada ya dharura kwa wakimbizi hao ambao wengi wao ni Waislamu.
-
Nigeria yaitaka UN kusitisha maangamizi ya Waislamu wa Rohingya, Myanmar
Sep 12, 2017 10:33Nigeria imelaani maangamizi yanayofanyika nchini Myanmar dhidi ya jamii ya Waislamu wa Rohingya na kuutaka Umoja wa Mataifa kutekeleza majukumu yake na kusitisha operesheni za kijeshi za kuwahamisha kwa mabavu Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Kiongozi Muadhamu: Ufumbuzi wa suala la Myanmar ni nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo
Sep 12, 2017 03:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya na kutochukua hatua jumuiya za kimataifa na wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na matukio ya maafa yanayojiri Myanmar na kusisitiza kwamba: Njia ya utatuzi wa kadhia hii ni kuchukuliwa hatua za kivitendo na nchi za Kiislamu na kuishinikiza kisiasa na kiuchumi serikali isiyo na huruma ya Myanmar.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu yalaani mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Sep 12, 2017 00:11Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu imelaani vikali mauaji na jinai dhidi ya Waislamu Warohingya wa nchini Myanmar.
-
Nchi za Kiislamu zaafiki mpango wa UN wa kuwasaidia Waislamu Myanmar
Sep 10, 2017 09:55Nchi za Kiislamu duniani zimeafiki mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuwasaidia wakimbizi 300,000 Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ambao wamekimbilia nchini jirani ya Bangladesh kuokoa maisha yao.
-
Marekani kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na Myanmar inayoua Waislamu
Sep 10, 2017 02:45Katika hali ambayo jamii ya kimataifa inaendelea kulaani na kukosoa vikali mauaji na ukatili wanaofanyiwa Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar, Marekani ipo mbioni kuimarisha ushirikiano wake wa kijeshi na nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.
-
Zarif: Viongozi wa nchi za Kiislamu watazungumzia jinai dhidi ya Waislamu wa Myanamr
Sep 09, 2017 22:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema viongozi wa nchi za Kiislamu wanaokutana katika kikao cha Sayansi na Teknolojia nchini Kazakhstan watazungumzia pia jinai zinazoendelea kufanywa dhidi ya Waislamu wa Myanmar.