-
UN yaeleza wasi wasi wake kuhusu wimbi la wakimbizi wa Rohingya nchini Bangladesh
Sep 09, 2017 03:15Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeeleza wasi wasi mkubwa lilionao kutokana na kuendelea kumiminika idadi kubwa ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Bangladesh.
-
Desmond Tutu amtaka San Suu Kyi kukomesha mauaji ya Waislamu Myanmar
Sep 09, 2017 00:01Askofu Mkuu wa Afrika Kusini, Desmond Tutu amemtaka Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar na mshindi mwenzake wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Aung San Suu Kyi kukomesha mauaji yanayofanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Zarif autaka Umoja wa Mataifa kusitisha mauaji ya Waislamu Myanmar
Sep 09, 2017 00:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kusitisha ukatili unaofanyika kwa mpangilio maalumu dhidi ya Waislamu nchini Myanmar.
-
Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar
Sep 08, 2017 14:24Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa hakuna matumaini ya kuona taasisi za kimataifa zikisaidia kuzuia mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na ameyataka mataifa ya Kiislamu kuamka na kusimama kidete dhidi ya jinai zinazofanywa na jeshi na Mabudha wa nchi hiyo.
-
Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar
Sep 08, 2017 12:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekemea tena mauaji ya kimbari yanayofanyika nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na kusema kuwa: Jamii ya Kimataifa inapaswa kuchukua hatua haraka bila ya kucheleza zaidi.
-
Wairani waandamana kupinga mauaji ya Waislamu nchini Myanmar
Sep 08, 2017 12:35maelfu ya Wairani waliohudhuria ibada ya Swala ya Ijumaa kote hapa nchini leo wamefanya maandamo katika miji mbalimbali wakipinga na kulaani mauaji yanayoendelea kufanywa na jeshi na Mabudha wa Myanmar dhidi ya Waislamu nchini humo.
-
Mauaji ya Waislamu wa Rohingya ni njama iliyoratibiwa
Sep 08, 2017 02:31Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limetoa taarifa na kusema kuwa, mauaji ya hivi sasa ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar na hatua ya mashirika ya kutetea haki za binadamu ya kupuuza ukatili huo ni jambo linaloashiria njama iliyoratibiwa tangu zamani dhidi ya Waislamu.
-
Iran: Jamii ya kimataifa ikomeshe mauaji ya Waislamu wa Myanmar
Sep 08, 2017 00:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha uangamizaji wa kizazi wanayofanyiwa Waislamu wa kabila la Rohingya na mabudha wa Myanmar.
-
Hilali Nyekundu ya Iran kutuma misaada kwa Waislamu wa Rohingya
Sep 07, 2017 10:03Shirika la Hilali Nyekundu la Jamhuri ya Kiislamau ya Iran limesema limeandaa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Jitihada za serikali ya Bangladesh za kuwahamishia wakimbizi wa Rohingya katika kisiwa cha mbali
Sep 07, 2017 03:37Baada ya kushadidi vitendo vya ukatili na mauaji dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar na kulazimika maelfu miongoni mwao kuwa wakimbizi, serikali ya Bangladesh imetangaza kwamba, inakusudia kuwahamishia wakimbizi hao Waislamu katika kisiwa kimoja cha nchi hiyo katika Ghuba ya Bengal na hivyo kuwapatia makazi ya muda huko.