-
Waislamu 300,000 watazamiwa kukimbia mauaji nchini Myanmar
Sep 07, 2017 03:11Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa Waislamu zaidi ya 300,000 wanatazamiwa kukimbia mauaji na dhulma wanazotendewa nchini Myanmar na kuelekea katika nchi jirani ya Bangladesh.
-
Iran: Mataifa yote yanapaswa kuzuia kutokea maafa ya kibinadamu Myanmar
Sep 07, 2017 00:08Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na hali mbaya na ya kusikitisha wanayokabiliwa nayo Waislamu wa Myanmar na kuelezea juu ya kuundwa kundi ma mawasiliano la nchi za Kiislamu katika siku za usoni.
-
Larijani: Tume ya kutafuta ukweli ya UN ichunguze hali ya Myanmar
Sep 06, 2017 23:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amelaani mauaji ya Waislamu wa Myanmar na kutaka ujumbe wa kutafuta ukweli wa Umoja wa Mataifa utumwe haraka nchini humo kuchunguza hali ya mambo na utumaji misaada ya kibinadamu.
-
ISESCO yataka Aung San Suu Kyi anyang'anywe tuzo ya Nobel, Waislamu waendelea kuuawa Myanmar
Sep 06, 2017 07:42Shirika la Elimu, Sayansi na Utamasdu la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO) limetangaza kuwa, Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar, Aung San Suu Kyi anapaswa kunyang'anywa Tuzo ya Amani ya Nobel kutokana na mauaji ya kutisha yanayoendelea kufanyika nchini humo dhidi ya Waislamu.
-
Myanmar yatega mabomu ardhini katika mpaka na Bangladesh kuwazuia Waislamu kuondoka
Sep 06, 2017 03:27Inaarifiwa kuwa serikali ya Myanmar inatega mabomu ya ardhini katika mpaka wa nchi hiyo na Bangladesh ili kuwazuia Waislamu wa kabila la Rohingya kuondoka nchini humo.
-
BHRN: Sio Waislamu wa Rakhine tu wanaouawa Myanmar
Sep 05, 2017 23:19Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Myanmar limetoa ripoti iliyofichua kuwa Waislamu katika maeneo yote ya nchi hiyo wanauawa na kuhujumiwa na wanajeshi wa nchi hiyo na sio wa kabila la Rohingya tu katika mkoa wa Rakhine.
-
Kuendelea jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar
Sep 04, 2017 22:04Idadi kadhaa ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh walipokuwa wakikimbia ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.
-
Daily Telegraph: Jeshi la Myanmar linawaua kwa umati Waislamu wa Rohingya
Sep 03, 2017 09:20Gazeti la Daily Telegraph la nchini Uingereza limeandika katika ripoti yake kwamba, jeshi la Myanmar limekuwa likifanya mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Erdogan: Mauaji ya Waislamu wa Warohingya ni ya kimbari
Sep 02, 2017 03:12Rais wa Uturuki Recep Teyyip Erdogan ameyataja mauaji ya mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar kama mauaji ya kimbari.
-
Waislamu 400 wafariki dunia Myanmar katika kipindi cha wiki moja
Sep 01, 2017 11:12Waislamu takribani 400 wamefariki dunia nchini Myanmar katika kipindi cha wiki moja tokea jeshi la nchi hiyo lianzishe kampeni mpya ya kuwakandamiza Waisalmu wa jamii ya Rohingya.