Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Jamii ya kimataifa yatakiwa kuvunja kimya chake mbele ya mauaji ya Waislamu Myanmar

    Jamii ya kimataifa yatakiwa kuvunja kimya chake mbele ya mauaji ya Waislamu Myanmar

    Aug 31, 2017 23:44

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu wa jamii ya Rohingya yenye makao yake nchini Uingereza amekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wenye misimamo mikali dhidi ya Waisalmu nchini Myanmar

  • Warohingya 17 waghariki katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh

    Warohingya 17 waghariki katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh

    Aug 31, 2017 09:10

    Kwa akali wakimbizi 17 Waislamu wa kabila la Rohingya wamekufa maji katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh wakikimbia jinai wanazofanyiwa na Mabudha wenye misimamo ya kuchupa mipaka na jeshi la Myanmar.

  • Baraza la Ulaya lataka kusitishwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Baraza la Ulaya lataka kusitishwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Aug 30, 2017 03:03

    Baraza la Ulaya limetoa wito wa kukomeshwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na mabudha wenye misimamo ya kufurutu ada wa Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchi hiyo.

  • Iran yaitaka serikali ya Myanmar izuie ukiukwaji haki za Waislamu wa Rohingya

    Iran yaitaka serikali ya Myanmar izuie ukiukwaji haki za Waislamu wa Rohingya

    Aug 28, 2017 23:18

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainisha wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Myanmar na imeitaka serikali ya nchi hiyo izuie ukiukwaji wa haki za Waislamu nchini humo.

  • Al Azhar yalaani mauaji ya Waislamu wa Rohingya, Myanmar

    Al Azhar yalaani mauaji ya Waislamu wa Rohingya, Myanmar

    Aug 28, 2017 02:27

    Taasisi ya Al Azhar nchini Misri imelaani vikali mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wenye misimamo mikali wa Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

  • Papa asisitiza kusitishwa mashambulizi dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Papa asisitiza kusitishwa mashambulizi dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Aug 27, 2017 10:09

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amesisitiza kusitishwa mashambulizi na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar.

  • Umoja wa Mataifa walaani mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Umoja wa Mataifa walaani mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Aug 25, 2017 23:23

    Umoja wa Mataifa umelaani vikali mauaji na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.

  • Waislamu 21 wauawa Myanmar katika mapigano jimboni Rakhine

    Waislamu 21 wauawa Myanmar katika mapigano jimboni Rakhine

    Aug 25, 2017 03:13

    Waislamu 21 wameuawa katika mapigano yaliyozuka usiku wa kuamkia leo nchini Myanmar katika jimbo la Rakhine la magharibi mwa nchi hiyo.

  • Kuendelea kunyanyaswa Waislamu wa Rohingya

    Kuendelea kunyanyaswa Waislamu wa Rohingya

    Aug 24, 2017 22:17

    Serikali ya Myanmar imeamua kuongeza idadi ya wanajeshi wake katika jimbo la Rakhine la magharibi mwa nchi hiyo suala ambalo limetajwa kuwa na kwa lengo la kuzidi kuwakandamiza Waislamu wa kabila ya Rohingya. Maelefu ya Waislamu hao wamelazimika kukimbilia Bangladesh kuokoa maisha yao.

  • Koffi Annan: Haki za Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar ziheshimiwe

    Koffi Annan: Haki za Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar ziheshimiwe

    Aug 24, 2017 09:13

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na kusisitiza kuwa, utumiaji wa mabavu na nguvu kupita kiasi dhidi yao hakuwezi kusaidia kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS