-
Takwa la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa Myanmar
Aug 04, 2017 02:18Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Yusuf bin Ahmed Al-Othaimeen ameitaka serikali ya Myanmar kuheshimu haki za Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
-
Serikali ya Myanmar yakataa kutoa viza kwa ujumbe wa UN kuchunguza hali ya Waislamu
Jul 13, 2017 03:31Wanaharakati wa haki za binaadamu wametangaza kuwa, serikali ya Myanmar imekataa kutoa viza kwa timu ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kwenda kuchunguza hali ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.
-
Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar
Jun 08, 2017 21:56Wawakilishi wa bunge la Myanmar wametaka kujengwa vijiji zaidi vya kikabila kwa lengo la kuwakandamiza Waislamu wa jamii ya Rohingya ikiwa ni katika kuendelea kuangamizwa kizazi cha Waislamu hao huko Myanmar khususan katika mkoa wa Rakhine.
-
Jeshi la Myanmar lapata miili na mabaki ya ndege yake iliyoanguka
Jun 08, 2017 02:19Jeshi la Myanmar limetangaza kuwa limepata mabaki ya ndege yake iliyotoweka jana Jumatano ikiwa na watu 122 katika bahari ya Andaman.
-
UN yaunda timu ya kuchunguza jinai dhidi ya Waislamu wa Rohingya
May 30, 2017 10:59Umoja wa Mataifa umeunda timu ya wataalamu huru kuchunguza mauaji na jinai zinazofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika jimbo la Rakhine.
-
Myanmar yapinga ripoti ya UN kuhusu jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya
May 23, 2017 03:15Jeshi la Myanmar limekanusha ripoti ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa iliyosema kuwa viongozi wa serikali wanabeba dhima ya jinai zilizotendwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
Uungaji mkono wa kamanda wa jeshi la Myanmar kwa ukandamizaji wa askari dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo
May 14, 2017 05:41Min Aung Hlaing, Kamanda Mkuu wa Jeshi nchini Myanmar ameunga mkono ukatili na jinai za kutisha zinazofanywa na askari wa nchi hiyo dhidi ya jamii ya wachache wa Rohingya nchini humo.
-
UN yaitaka Myanmar iwaachie huru watoto wadogo wanaozuiliwa
Apr 09, 2017 09:31Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeitaka serikali ya Myanmar kuwaachia huru watoto wadogo wanaozuiliwa na vyombo vya usalama chini ya mazingira magumu katika jimbo la Rakhine.
-
Jeshi la Myanmar Labomoa Msikiti wa Kihistoria
Apr 08, 2017 03:03Jeshi la Myanmar limetumia mabuldoza kuubomoa kikamilifu msikiti wa kihistoria katika mkoa wa Waislamu wa Rakhine nchini humo.
-
Kamanda wa jeshi la Myanmar atetea mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Mar 28, 2017 08:27Kamanda wa jeshi la Myanmar ametetea siasa za ukandamizaji na ukatili unaofanywa na askari wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika mkoa wa Rakhine.