-
Kutimuliwa NATO, tishio lisilo na kifani la Marekani dhidi ya Uturuki
Apr 04, 2019 14:47Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekuwa mbaya katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita hasa baada ya jaribio la kuipindua serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan manamo Junia 15 mwaka 2016.
-
Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani
Feb 21, 2019 11:16Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.
-
Rais Ashraf Ghani: Jeshi la Afghanistan halifungamani tena na askari wa Marekani na NATO
Nov 07, 2018 07:18Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema kuwa maafisa usalama wa nchi hiyo hawatofungamana tena na Marekani wala Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kwa ajili ya kudumisha usalama na uthabiti nchini humo.
-
Libya yapinga uingiliaji wa kijeshi wa madola ajinabi nchini humo
Oct 06, 2018 15:13Mjumbe wa Baraza Kuu la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amepinga njama za jeshi la nchi za Magharibi NATO za kutaka kuingilia tena kijeshi nchini humo na kusema kuwa, Libya inapinga uingiliaji wowote wa kijeshi wa madola ya kigeni.
-
Kupindisha ukweli Katibu Mkuu wa NATO na hila ya kutaka kuitupia mzigo wa lawama Iran
Oct 05, 2018 15:20Mtazamo wa kizandiki na kindumakuwili wa Magharibi kwa matukio ya eneo la Magharibi ya Asia hautabadilisha ukweli wa mambo wa yale yanayojiri katika eneo hili; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo ni nchi athirifu itaendelea kutoa mchango wake chanya katika uwanja huo.
-
Iran yamjibu Katibu Mkuu wa NATO: Sera hatarishi za Marekani ndizo za kutia wasiwasi zaidi
Oct 04, 2018 07:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, inapasa Katibu Mkuu wa NATO awe na wasiwasi zaidi kutokana na siasa na sera hatarishi za Marekani za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja na kutotekeleza mwanachama huyo wa NATO majukumu yake ya kimataifa.
-
NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria
Sep 17, 2018 15:26Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepeleka manowari kadhaa katika fukwe za Syria, suala ambalo ni ishara ya wazi ya uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa magaidi wanaofanya jinai na mauaji dhidi ya raia na maafisa wa serikali ya Syria.
-
NATO, sababu kuu ya mgogoro wa ndani nchini Libya
Aug 14, 2018 02:51Kamanda wa Jeshi la Taifa la Libya Khalifa Haftar amesema kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) ndiyo sababu ya hali mbaya inayoshuhudiwa sasa nchini humo.
-
Mashambulizi ya NATO Libya, yamewaletea raia wa nchi hiyo aina kadhaa za saratani
Jul 15, 2018 03:48Nouri al-Daruqi, Mtafiti wa nchini Libya amesema kuwa aina kadhaa za ugonjwa wa saratani zimeibuka baada ya Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) kuishambulia kijeshi nchi hiyo mwaka 2011.
-
Qassemi: Hakuna msingi wa kuwa na wasiwsi kuhusu makombora ya Iran
Jul 13, 2018 04:11Msemaji wa Wizara ya Nje ya Iran amejibu taarifa iliyotolewa katika kikao cha viongozi wa jumuiya ya kijeshi ya NATO na kusema, hakuna msingi wowote wa kuwa na wasiwasi kuhusu mpango wa makombora ya kujihami ya Iran.