Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

NATO

  • Trump aibua mifarakano katika muungano wa kijeshi wa NATO

    Trump aibua mifarakano katika muungano wa kijeshi wa NATO

    Jul 12, 2018 09:33

    Siku ya kwanza ya kikao cha viongozi wa muungano wa kijeshi wa nchi za Magharibi, NATO, imemalizika huku mkutano huo ukishuhudia mashambulizi makali ya maneno ambayo hayajawahi kushuhudiwa ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Ujerumani, moja kati ya nchi muhimu zaidi katika muungano huo wa NATO.

  • Wakuu wa Nato wakariri madai dhidi ya Iran katika kikao chao mjini Brussels

    Wakuu wa Nato wakariri madai dhidi ya Iran katika kikao chao mjini Brussels

    Jul 12, 2018 07:29

    Viongozi wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) wamekariri madai ya Marekani dhidi ya Iran kuhusu miradi ya kiulinzi ya nchi hii. Madai hayo yametolewa kufuatia taarifa iliyotolewa katika siku ya kwanza ya kikao chao hicho mjini Brussels jana.

  • NATO: Hatutaipa himaya Israel iwapo itashambuliwa na Iran

    NATO: Hatutaipa himaya Israel iwapo itashambuliwa na Iran

    Jun 03, 2018 07:24

    Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umesema hautaupa himaya utawala haramu wa Israel iwapo utashambuliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Silaha za magaidi zilizoundwa katika nchi wanachama wa Nato zanaswa Syria

    Silaha za magaidi zilizoundwa katika nchi wanachama wa Nato zanaswa Syria

    May 21, 2018 14:22

    Vyombo vya habari vya Russia vimeripoti kuwa shehena ya silaha za magaidi zimenaswa katika mkoa wa Homs nchini Syria; silaha ambazo imebainika kuwa ziliundwa katika nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato).

  • Msimamo wa kiuhasama wa Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Russia

    Msimamo wa kiuhasama wa Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Russia

    Apr 30, 2018 02:39

    Ijumaa iliyopita Mike Pompeo, Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Marekani akizungumza kando ya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazounda Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) mjini Brussels Ubelgiji, alitaka 'kuwepo mabadiliko ya wazi katika hatua za Russia na vilevile kuitaka ifuate sheria za kimataifa'.

  • Kutengwa Marekani katika Muungano wa (NATO) juu ya kadhia ya JCPOA

    Kutengwa Marekani katika Muungano wa (NATO) juu ya kadhia ya JCPOA

    Apr 28, 2018 07:54

    Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO), Jens Stoltenberg ametoa matamshi yanayokinzana na mtazamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • NATO: Hatuko katika mashindano ya silaha mpya na Russia

    NATO: Hatuko katika mashindano ya silaha mpya na Russia

    Apr 05, 2018 08:07

    Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amesema kuwa muungano huo hauko katika mashindano ya silaha mpya na Russia.

  • Nato: Hatutaki vita vipya baridi na Russia

    Nato: Hatutaki vita vipya baridi na Russia

    Mar 17, 2018 03:49

    Jens Stoltenberg Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) alisema jana kuwa muungano huo hautaki kurudi katika uhasama wa vita baridi kati yake na Russia huku akibainisha uungaji mkono wake kwa msimamo mkali uliodhihirishwa na Uingereza kufuatia madai kwamba Moscow imempatia sumu jasusi wa zamani wa nchi hiyo huko Uingreza.

  • Rais wa Uturuki aiomba NATO ipeleke majeshi yake eneo la Afrin nchini Syria

    Rais wa Uturuki aiomba NATO ipeleke majeshi yake eneo la Afrin nchini Syria

    Mar 11, 2018 07:17

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amelitaka shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO lipeleke majeshi yake katika eneo la Afrin kaskazini mwa Syria.

  • Khaled al-Khuwailidi: NATO imetenda jina za kivita dhidi ya raia nchini Libya

    Khaled al-Khuwailidi: NATO imetenda jina za kivita dhidi ya raia nchini Libya

    Jan 20, 2018 15:50

    Wakili mmoja mashuhuri nchini Libya amefichua kwamba, Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umetenda jinai dhidi ya raia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS