-
Nato: Hatutaki vita vipya baridi na Russia
Mar 17, 2018 00:19Jens Stoltenberg Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) alisema jana kuwa muungano huo hautaki kurudi katika uhasama wa vita baridi kati yake na Russia huku akibainisha uungaji mkono wake kwa msimamo mkali uliodhihirishwa na Uingereza kufuatia madai kwamba Moscow imempatia sumu jasusi wa zamani wa nchi hiyo huko Uingreza.
-
Rais wa Uturuki aiomba NATO ipeleke majeshi yake eneo la Afrin nchini Syria
Mar 11, 2018 03:47Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amelitaka shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO lipeleke majeshi yake katika eneo la Afrin kaskazini mwa Syria.
-
Khaled al-Khuwailidi: NATO imetenda jina za kivita dhidi ya raia nchini Libya
Jan 20, 2018 12:20Wakili mmoja mashuhuri nchini Libya amefichua kwamba, Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umetenda jinai dhidi ya raia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump
Dec 05, 2017 12:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema, katika zama za urais wa Donald Trump nafasi ya nguvu za kisiasa za Marekani duniani si kama ilivyokuwa huko nyuma.
-
Katibu Mkuu wa Nato atahadharisha kuhusu vita na Korea ya Kaskazini
Oct 31, 2017 03:44Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amezitahadharisha nchi zote husika kuhusu kupigana vita na Korea ya Kaskazini.
-
NATO yaunga mkono stratejia mpya ya Marekani kuhusu Afghanistan
Aug 22, 2017 23:12Muungano wa Kijeshi wa NATO umeunga mkono uamuzi wa Rais wa Marekani wa kuongeza wanajeshi wengine nchini Afghanistan katika kalibu ya stratejia mpya ya Washington.
-
Russia: Marekani na NATO zinaruhusu magendo ya dawa za kulevya Afghanistan
Aug 20, 2017 02:20Serikali ya Russia imetangaza kuwa, hatua ya Marekani na jumuiya ya kijeshi ya nchi za Magharibi NATO ya kutopambana na dawa za kulevya nchini Afghanistan licha ya kushadidi uzalishaji na magendo ya dawa hizo, inatia shaka na kustaajabisha.
-
Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO
Apr 02, 2017 00:17Kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa shirika la kujihami la kijeshi la NATO kilifanyika siku ya Ijumaa iliyopita katika makao makuu ya shirika hilo mjini Brussels, Ubelgiji.
-
NATO yakiri, usalama wa Ulaya uko mashakamani
Mar 24, 2017 21:54Kamanda wa majeshi ya NATO barani Ulaya, Jenerali Curtis Scaparrotti amekiri kuwa bara hilo sasa limekuwa miongoni mwa maeneo hatari zaidi duniani.
-
Ayatullah Makarim: NATO ya Kiarabu ni njama ya Marekani na Uzayuni ya kuangamiza Ulimwengu wa Kiislamu
Mar 02, 2017 11:02Ayatullah Naser Makarim Shirazi, Marjaa Taqlidi aliyeko katika mji wa Qum kusini mwa mji mkuu Tehran amesema NATO ya Kiarabu ni njama ya Kimarekani na Kizayuni yenye lengo la kuuangamiza Ulimwengu wa Kiislamu na kusisitiza kuwa viongozi wa Kiarabu wanaiona hatima ya Syria, Yemen na kaskazini mwa Iraq lakini wangali wamo kwenye usingizi wa mghafala.