-
Serikali ya Russia yaafikiana na Trump kuhusu NATO
Jan 16, 2017 23:33Ikulu ya Russia (Kremlin) imetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo inaafiki mtazamo wa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwamba Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umepitwa na wakati.
-
Vikosi vya jeshi la Marekani vyakiri kuua raia 33 wa Afghanistan
Jan 12, 2017 11:58Vikosi vya jeshi la Marekani vilivyoko chini ya mwavuli wa shirika la kijeshi la NATO vimekiri kuwa viliua raia 33 wa Afghanistan wakiwemo watoto wadogo katika shambulio la mwezi Novemba jana lililofanywa kwa kisingizio cha kupambana na wanamgambo wa kundi la Taliban.
-
Russia yaikosoa vikali Nato kwa kuanzisha mgogoro
Jul 13, 2016 02:52Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia jana Jumanne aliwasilisha taarifa na kueleza kuwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) una nafasi kubwa katika kuzua migogoro na kuendeleza hali ya mivutano katika maeneo mbalimbali duniani.
-
NATO yaanza mazoezi ya kijeshi baharini karibu na Russia
Jul 11, 2016 23:15Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umeanza mazoezi ya kijeshi karibu kabisa na Russia.
-
Radiamali ya Iran kwa matamshi ya Nato kuhusu mpango wake wa makombora
Jul 11, 2016 03:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitaja taarifa ya mwisho ya kikao cha wakuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) kuhusu mpango wa makombora wa Iran kuwa ni madai ya kukaririwa na yasiyo na msingi.
-
Russia yalaani NATO kujipania kuelekea Mashariki
Jul 10, 2016 10:07Russia imelaani vikali hatua ya muungano wa kijeshi wa NATO kujipanua na kuelekeza nguvu zake Moscow wakati ambapo hakuna tishio lolote kutoka mashariki.
-
Tetesi za kuingia kwa mara nyingine NATO nchini Libya
May 26, 2016 02:27Sambamba na kuongezeka matatizo ya kiusalama Libya, kuna taarifa kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO linapanga kuingilia tena kijeshi katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ombi la NATO la kustawisha ushirikiano na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na (P)GCC
Apr 10, 2016 02:40Naibu Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la NATO, Alexander Vershbow ametaka kustawishwa ushrikiano kati ya shirika hilo la kijeshi na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC pamoja na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Nato na Russia huenda zikaanzisha mazungumzo baada ya miaka miwili
Apr 08, 2016 09:36Russia imesema kuwa huenda ikafanya mazungumzo na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi Nato katika wiki chache zijazo.
-
NATO kupanua operesheni za kukabiliana na wakimbizi
Mar 07, 2016 12:46Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Jens Stoltenberg amesema kuwa jumuiya hiyo itapanua zaidi operesheni zake katika maji ya karibu na nchi za Ugiriki na Uturuki ili kuzuia wimbi la wahamiaji haramu kuelekea katika nchi za Magharibi.