Taasisi inayoiwakilishi Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeamua kutohudhuria mahakamani katika kesi ya kuchunguza mauaji ya halaiki yaliyofanywa na jeshi la Nigeria katika mji wa Zaria mwezi Disemba mwaka jana.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti mmoja yanayofanywa na na genge la kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa katika msikiti mmoja huko Nigeria.
Wananchi wa Nigeria wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakitaka kuachiwa huru haraka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Serikali ya Nigeria imeamua kuwatimua wafanyakazi wake elfu 20 kwa lengo la kufidia nakisi ya bajeti nchini humo.
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria, amesema kuwa kuendelea kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia, ni jambo lisilokubalika.