-
Rais wa Iran atoa mkono wa Idi kwa viongozi na wananchi wa mataifa ya Kiislamu
Mar 31, 2025 03:21Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za mkono wa Idi na kuwapongeza viongozi na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuadhimisha na kushereheka Idul-Fitri, siku ya sherehe na furaha kubwa kwa Waislamu.
-
Mkutano wa Jeddah; licha ya kukamilisha lakini ni zaidi ya mkutano wa Cairo
Mar 09, 2025 02:35Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano wa dharura wa mawaziri wa Mambo ya Nje na Wakuu wa Nchi za Kiarabu huko Cairo, Misri kunaonyesha ushirikiano wa pamoja wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na mpango wa kuwafukuza kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza na wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Rais wa Iran asisitiza umoja kati ya nchi za Kiislamu
Feb 04, 2025 07:47Rais wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zinapasa kujiepusha na masuala yanayozusha hitilafuna badala yake zinapasa kushikama na kuwa kitu kimoja; na kwa njia hiyo ni wazi kuwa njama za maadui na wale wanaozitakia mabaya wenzao hazitafanikiwa.
-
Rais wa Iran: Kuundwa mfuko wa pamoja wa uwekezaji ni hatua ya kufikia malengo ya D8
Dec 19, 2024 11:15Rais wa Jamhuri ya Iran amekutaja kuanzishwa Mfuko wa Maendeleo wa kundi la D8 kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja wa nchi za Kiislamu wanachama kuwa ni hatua madhubuti ya kupanua ushirikiano wa nchi wanachama.
-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu kuungana kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 29, 2024 06:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuungana na kushikamana katika kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina na Lebanon.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuna udharura wa kukatwa mishipa ya uhai ya utawala wa Kizayuni
Jan 23, 2024 13:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Nchi za Kiislamu zinapaswa kukata uhusiano wao wa kisiasa na kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukata mishipa muhimu ya uhai ya utawala huo ghasibu.
-
Maspika wa mabunge ya Iran na Algeria wasisitiza kusitishwa jinai za Wazayuni Ukanda wa Gaza
Dec 15, 2023 02:58Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ametangaza utayarifu wa Bunge la Iran kufanya kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Palestina katika ngazi ya maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu kwa ajili ya kuchunguza njia za kivitendo za kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Ayatullah Noori-Hamedani: Mataifa ya Kiislamu yachukue hatua nzito dhidi ya kuvunjiwa heshima Qur'ani
Aug 03, 2023 03:04Ayatullah Hussein Noori Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wakuu wa kidini katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran amesema, mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuchukua hatua nzito dhidi ya vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu kitakafu cha Qur'ani.
-
Rais wa Iran atoa mkono wa baraka za Idi kwa wakuu wa nchi zote za Waislamu
Jun 29, 2023 02:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu na pongezi za Idi viongozi mbalimbali wa nchi za Waislamuu kwa mnasaba wa maadhimisho ya sikukuu ya Idul Adh'ha.
-
OIC na nchi Kiislamu zalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya al Aqsa
May 19, 2023 10:28Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na nchi za Kiislamu zimelaani hujuma iliyofanywa na Wazayuni wakiongozwa na mawaziri na wabunge kadhaa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika kile kilichopewa jina la "siku ya bendera".