Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Umoja wa Ulaya wakubaliana juu ya fremu ya vikwazo kwa Niger

    Umoja wa Ulaya wakubaliana juu ya fremu ya vikwazo kwa Niger

    Oct 23, 2023 22:52

    Umoja wa Ulaya umepitisha mfumo wa kuwawekea vikwazo viongozi wa serikali ya kijeshi iliyochukua mamlaka ya uongozi huko Niger mwezi Julai mwaka huu.

  • Niger yamtaka Balozi wa UN aondoke nchini humo ndani ya saa 72

    Niger yamtaka Balozi wa UN aondoke nchini humo ndani ya saa 72

    Oct 11, 2023 08:39

    Baraza la kijeshi linalotawala Niger limemtaka Balozi wa Umoja wa Mataifa nchini humo kuondoka katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi katika kipindi cha saa 72 zijazo.

  • Ufaransa yaanza kuondoa wanajeshi wake Niger

    Ufaransa yaanza kuondoa wanajeshi wake Niger

    Oct 10, 2023 10:06

    Ufaransa imeanza zoezi la kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger, baada ya kutimuliwa na baraza la kijeshi linalotawala nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

  • Baraza la Kijeshi Niger: Kituo cha kijeshi cha Ufaransa kitavunjwa mwisho wa mwaka huu

    Baraza la Kijeshi Niger: Kituo cha kijeshi cha Ufaransa kitavunjwa mwisho wa mwaka huu

    Oct 05, 2023 10:16

    Baraza la kijeshi la Niger limetangaza katika taarifa kwamba kituo cha kijeshi cha Ufaransa kilichoko katika mji mkuu Niamey, ambako ndiko waliko wanajeshi wengi wa Ufaransa kitavunjwa ifikapo mwisho wa mwaka huu wa 2023.

  • Jenerali Tumba: Ufaransa haitaki kuwaondoa wanajeshi wake Niger

    Jenerali Tumba: Ufaransa haitaki kuwaondoa wanajeshi wake Niger

    Oct 04, 2023 03:10

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Baraza la Kijeshi linaloongoza Niger ameeleza kuwa Ufaransa haina mpangp wa kuwaondoa wanajeshi wake mjini Niamey.

  • Niger yakubali mpango wa Algeria wa kutatua mzozo wa ndani wa nchi hiyo

    Niger yakubali mpango wa Algeria wa kutatua mzozo wa ndani wa nchi hiyo

    Oct 02, 2023 11:42

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilimengaza kuwa, Niger imekubaliana na mpango wa Algiers wa kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.

  • Raia wa Niger washambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji

    Raia wa Niger washambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji

    Sep 30, 2023 12:16

    Raia wa Niger wamelishambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji kwa ajili ya wanajeshi wa nchi hiyo walioko nchini humo kinyume cha sheria.

  • Wanajeshi 12 wa Niger wauawa katika shambulizi la wanamgambo

    Wanajeshi 12 wa Niger wauawa katika shambulizi la wanamgambo

    Sep 29, 2023 09:59

    Waziri wa Ulinzi wa Niger ametangaza habari ya kuuawa wanajeshi wasiopungua 12 wa nchi hiyo katika shambulizi la kundi la wanamgambo kusini magharibi mwa nchi.

  • Kusalimu amri Ufaransa mbele ya takwa la Niger

    Kusalimu amri Ufaransa mbele ya takwa la Niger

    Sep 26, 2023 07:02

    Hatimaye, baada ya wiki kadha za vuta nikuvute, Ufaransa imesalimu amri mbele ya takwa la Niger na kutangaza kwamba, balozi wa Ufaransa nchini Niger, Sylvian Itte, atarejea Paris katika saa chache zijazo.

  • Macron adai waliofanya mapinduzi Niger

    Macron adai waliofanya mapinduzi Niger "wanamshikilia" balozi wa Ufaransa

    Sep 16, 2023 04:40

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, alidai jana Ijumaa kwamba balozi wa nchi yake nchini Niger, Sylvain Itte, "anazuiliwa" na utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, akiashiria kwamba chakula anachokula ni "mgao wa chakula cha kijeshi."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS