Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa

    Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa

    Mar 18, 2016 11:12

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti nchini Nigeria na kuua watu 25.

  • Jeshi la Cameroon laangamiza Boko Haram 20 nchini Nigeria

    Jeshi la Cameroon laangamiza Boko Haram 20 nchini Nigeria

    Mar 17, 2016 10:33

    Wanajeshi wa Cameroon wametangaza kuangamiza wanachama 20 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika operesheni iliyofanyika huko kaskazini mwa Nigeria.

  • Boko Haram yaua Waislamu 22 waliokuwa wakisali msikitini

    Boko Haram yaua Waislamu 22 waliokuwa wakisali msikitini

    Mar 16, 2016 10:53

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria limewaua watu 22 waliokuwa wakisali katika msikiti wa jimbo la Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Waislamu Nigeria watoa sharti la kufika mbele ya tume ya uchunguzi

    Waislamu Nigeria watoa sharti la kufika mbele ya tume ya uchunguzi

    Mar 15, 2016 11:51

    Waislamu nchini Nigeria wamekataa kufika mbele ya jopo lililobuniwa na serikali ya Abuja kuchunguza mauaji ya Waislamu wa Zaria Disemba mwaka jana, huku wakitoa sharti la kuachiwa huru msomi wa Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakazky ambaye anazuiliwa katika mazingira magumu tangu wakati huo.

  • Mlipuko nje ya Banki Kuu ya Nigeria

    Mlipuko nje ya Banki Kuu ya Nigeria

    Mar 12, 2016 04:45

    Mlipuko umejiri nje ya jengo la Banki Kuu ya Nigeria katika mji wa Calabar kusini mwa nchi hiyo na kupelekea watu wasiopungua wawili kuuawa na wengine 18 kujeruhiwa Ijumaa.

  • Mgogoro wa kisiasa nchini Niger

    Mgogoro wa kisiasa nchini Niger

    Mar 10, 2016 08:10

    Asasi za kiraia nchini Niger zimetoa indhari juu ya uwezekano wa kuibuka mgogoro wa kisiasa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Idadi ya waliokufa baada ya jengo kuporomoka Nigeria yapindukia 30

    Idadi ya waliokufa baada ya jengo kuporomoka Nigeria yapindukia 30

    Mar 10, 2016 04:31

    Idadi ya waliopoteza maisha baada ya jengo lenye ghorofa 5 kuporomoka katika mji mkuu wa kibiashara wa Nigeria, Lagos imepindukia 30.

  • Afrika Kusini yakanusha kutumba jeshi Nigeria kupambana na Boko Haram

    Afrika Kusini yakanusha kutumba jeshi Nigeria kupambana na Boko Haram

    Mar 09, 2016 23:12

    Jeshi la Afrika Kusini limekanusha habari kuwa litatatuma askari nchini Nigeria kupambana na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.

  • Jeshi la Nigeria laendelea na oparesheni ya kuwaangamiza Boko Haram

    Jeshi la Nigeria laendelea na oparesheni ya kuwaangamiza Boko Haram

    Mar 07, 2016 12:48

    Jeshi la Nigeria limesema kuwa linaendelea na oparesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa Boko Haram katika maficho yao.

  • Buhari: Kutegemea mafuta kumevuruga uchumi wa Nigeria

    Buhari: Kutegemea mafuta kumevuruga uchumi wa Nigeria

    Mar 06, 2016 03:42

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema kutegemea kupita kiasi pato la mafuta ya petroli ni chanzo kikuu cha matatizo ya kiuchumi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS