-
Kuakhirishwa kesi ya Sheikh Zakzaky na njama za mabeberu nchini Nigeria
Jul 03, 2021 06:22Mahakama ya Nigeria kwa mara nyingine tena imeakhirisha kikao cha kusikilizwa kesi ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi tarehe 28 Julai licha ya Waislamu wa nchi hiyo kutaka mwanazuoni huyo aachiwe huru.
-
Kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yapigwa tarehe tena nchini Nigeria
Jul 02, 2021 02:13Mahakama ya Nigeria imeipiga tena tarehe kesi ya kiongozi wa Harakati ya Kisilamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi mwishoni mwa mwezi huu wa Julai.
-
Wabeba silaha 14 waliojaribu kushambulia kituo cha polisi Nigeria wauawa
Jun 20, 2021 22:22Polisi nchini Nigeria imefanikiwa kuangamiza wabeba silaha 14 waliojaribu kuvamia kituo kimoja cha polisi katika jimbo la Benue, la katikati mwa nchi.
-
Wanafunzi wengine zaidi ya 80 watekwa nyara nchini Nigeria
Jun 18, 2021 03:32Zaidi ya wanafunzi 80 wa Nigeria wametekwa nyara katika shambulizi la watu waliokuwa na silaha huko Kaskazini Magharibi mwa Nigeria.
-
Nigeria: Kifo cha kiongozi wa Boko Haram kimethibitishwa bila shaka yoyote
Jun 17, 2021 08:02Kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la wanamgambo wa Boko Haram wenye makao yao nchini Nigeria kimethibitishwa pasina shaka yoyote. Taarifa hiyo imetolewa kupitia tangazo kwa njia ya video lililotolewa na kiongozi mpya wa Boko Haram, Bakura Modu.
-
Kero la ugaidi; 50 wauawa Burkina Faso na Nigeria
Jun 15, 2021 22:05Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa magaidi 25 wameuliwa katika operesheni iliyofanywa na askari wa jeshi hilo.
-
Polisi ya Nigeria yafyatua gesi ya kutoa machozi katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia
Jun 12, 2021 22:20Polisi wa Nigeria wamefyatua gesi ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga serikali huko Lagos na katika mji mkuu, Abuja, na ripoti zinasema kuwa baadhi ya wanaadamanaji hao wakamatwa na wengine kujeruhiwa.
-
Wanakijiji 90 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Nigeria
Jun 12, 2021 08:13Watu wasiopungua 90 wameuawa baada ya genge la watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia kijiji kimoja huko Kaskazini Magharibi mwa Nigeria.
-
Wiki ya Imam Khomeini yaadhimishwa nchini Nigeria
Jun 07, 2021 22:22Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu na taasisi za elimu ya juu za Nigeria wameandaa Wiki ya Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika jimbo la Bauchi, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Jumuiya za kimataifa zalaani hatua ya Nigeria ya kuifungia Twitter
Jun 07, 2021 03:32Jumuiya za kimataifa na balozi za nchi za kigeni nchini Nigeria zimelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuufungia mtandao wa kijamii wa Twitter kwa muda usiojuliikana.