-
Mafuriko yaua makumi ya watu nchini Nigeria
May 31, 2025 02:21Makumi ya watu wamepoteza maisha huku maelfu ya wengine wakilazika kuhama makazi yao kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria lashadidisha operesheni dhidi ya Boko Haram
May 24, 2025 07:02Jeshi la Nigeria limesema kuwa limewaangamiza wanachama 16 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi, huku operesheni dhidi ya magaidi hao zikichachamaa.
-
Waislamu Nigeria wawakumbuka Mashahidi wa Siku ya Quds
May 12, 2025 11:14Taasisi ya 'Wakfu wa Shuhada' ya Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewakumbuka na kuwaenzi mashahidi 27 waliouawa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo wakati wa maandamano ya amani ya Siku ya Quds ya 2025 huko Abuja, na kusisitiza kujitolea kwao kwa kadhia ya Palestina.
-
Makumi wauawa katika mashambulizi ya wabeba silaha Benue, Nigeria
May 12, 2025 11:10Takriban watu 23 waliuawa huku wengine wengi kujeruhiwa katika mashambulizi ya watu waliojizatiti kwa silaha katika Jimbo la Benue nchini Nigeria.
-
Makamanda 11 wa ugaidi wauawa katika operesheni za jeshi la Nigeria
May 08, 2025 07:04Takriban vinara 11 wa magenge ya kigaidi nchini Nigeria wameuawa na vikosi vya serikali katika operesheni za kupambana na ugaidi katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi barani Afrika.
-
Nigeria yageukia Akili Mnemba (AI) ili kukabiliana na taarifa za uongo na kukuza lugha za ndani
May 08, 2025 02:22Huku Akili Mnemba (AI) ikiendelea kuhuhisha sekta ya viwanda kote duniani, Nigeria nchi iliyo na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika imeamua kukumbatia kwa kasi wimbi hili la kiteknolojia.
-
Jeshi la Sudan Kusini: Tumeukomboa mji muhimu kutoka mikononi mwa Jeshi Jeupe
Apr 22, 2025 08:46Jeshi la Sudan Kusini limetangaza kuwa limeukomboa mji muhimu katika jimbo la Upper Nile ambao ulikuwa umetekwa na wanamgambo wa kabila la Nuer mwezi Machi katika mapigano ambayo yalipelekea kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar na kuibua mzozo mkubwa wa kisiasa nchini humo.
-
Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Nigeria
Apr 14, 2025 13:08Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio la usiku wa manane dhidi ya jamii ya Zike huko Bassa, Jimbo la Plateau, huku mashambulio makali ya makundi yenye silaha yakiendelea kuripotiwa katika eneo hilo la kaskazini ya kati mwa Nigeria.
-
Watu 8 wameuawa na 11 kujeruhiwa katika mlipuko wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Apr 13, 2025 12:18Takriban watu wanane wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa wakati basi moja katika Jimbo la Borno nchini Nigeria lilipokanyaga bomu lililotegwa ardhini na magaidi wa Boko Haram.
-
Wanahabari Nigeria wataka Israel iwekewe vikwazo vya mafuta, gesi
Apr 10, 2025 02:53Mwenyekiti wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa Nigeria (NUJ), Ibrahim Muhammad, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuungana na kutumia nguvu zao za kiuchumi, hususan mafuta na gesi, kama nyenzo ya kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel na Marekani huko Palestina na kwingineko.