-
Idadi ya raia waliouawa na Boko Haram huko Maiduguri yaongezeka na kufikia 65
Jul 29, 2019 00:08Idadi ya watu waliuawa kaskazini mwa Nigeria baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuwashambulia watu waliokuwa wakitoka msibani imeongezeka na kufikia 65.
-
Watu 23 wauawa kwa mashambulio ya kundi la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria
Jul 28, 2019 07:29Watu wasiopungua 23 wameuawa kaskazini mwa Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kufanya mashambulio katika maeneo hayo.
-
Guterres aombwa kufuatilia hali ya Sheikh Zakzaky ili apatiwe matibabu
Jul 24, 2019 22:08Wasomi na wanafikra 52 wamemwandikia barua Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wakimtaka asaidie jitihada za kuwaondoa huko Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe Malam Zeenat ili waweze kupatiwa matibabu nje ya nchi haraka iwezekanavyo.
-
Wasomi 52 wamtaka Guterres aingilie kati kadhia ya Sheikh Zakzaky
Jul 23, 2019 12:34Wasomi na wanafikra 52 wamemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asaidie jitihada za kutaka kuachiwa huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky huko Nigeria kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
-
Waislamu 6 wafuasi wa Sheikh Zakzaky wauawa kwa kupigwa risasi, Abuja
Jul 22, 2019 23:52Wafuasi 6 wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa Nigeria mjini Abuja.
-
Mahakama yaakhirisha kutoa hukumu dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 22, 2019 03:29Mahakama Kuu katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria imeakhirisha kutoa hukumu ya kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Chama cha madaktari Iran chaonya kuhusiana na hali ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 21, 2019 06:45Chama cha Wahadhiri na Wanachuo wa Sayansi ya Tiba nchini Iran kimetahadharisha kuhusiana na hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Makumi ya raia wauawa kaskazini magharibi mwa Nigeria, jeshi latumwa kulinda amani
Jul 21, 2019 03:07Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, raia wasiopungua 37 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na makundi ya watu wenye silaha huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Zakzaky
Jul 20, 2019 02:59Waislamu na wanaharakati nchini Nigeria jana Ijumaa waliendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo licha ya kukabiliwa kwa mkono wa chuma na maafisa usalama wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Nigeria yachunguza uwezekano wa kuruhusiwa Sheikh Zakzaky kutibiwa nje ya nchi
Jul 18, 2019 22:06Duru za kieneo zimetangaza kuwa, Mahakama Kuu ya Nigeria inachunguza uwezekano wa kuruhusiwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongbozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo kwenda kutibiwa nje ya nchi.