-
Wakulima Wazungu wanakabiliwa na njaa nchini Zimbabwe
Feb 15, 2017 01:35Kwa akali wakulima 1000 Wazungu wanakabiliwa na hali mbaya ya njaa nchini Zimbabwe kutokana na kile kinachotajwa kuwa sera ya kibaguzi ya ardhi.
-
Njaa yawanyemelea maelfu Nigeria kutokana na ugaidi wa Boko Haram
Feb 09, 2017 04:06Maelfu ya watu wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa nchini Nigeria kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
UN: Watu milioni 5.6 wanakabiliwa na njaa Ethiopia
Jan 29, 2017 13:48Umoja wa Mataifa umesema mamilioni ya watu wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na athari za kiangazi na ukame nchini Ethiopia.
-
WFP: Raia milioni 1.8 wanakabiliwa na hatari ya njaa kaskazini mashariki mwa Nigeria
Jan 29, 2017 03:52Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, hali ya kimaisha ya wakazi wa kaskazini mashariki mwa Nigeria inatia wasiwasi mno.
-
Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 2.4 katika hatari ya kufa njaa
Jan 07, 2017 07:38Shirika la Msalaba Mwekundu limeonya kuwa, mamilioni ya Wakenya wapo katika hatari ya kukumbana na baa la njaa katika miezi michache ijayo.
-
FAO: Watu milioni 12 Afrika Mashariki wanahitajia msaada wa chakula
Dec 22, 2016 03:05Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) limetahadharisha kuwa, watu milioni 12 katika kanda ya Afrika Mashariki wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa.
-
Kivuli cha mauti chawafunika maelfu ya watoto Afrika
Dec 16, 2016 14:44Maelfu ya watoto wa maeneo tofauti ya Afrika wamefunikwa na kivuli cha mauti kutokana na ukosefu wa amani na machafuko yanayotokana na mashambulizi ya kigaidi na baa la njaa barani humo.
-
Watoto laki 4 katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa Nigeria
Dec 14, 2016 14:17Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa mamia ya maelfu ya watoto nchini Nigeria wako katika hatari ya kuaga dunia kutokana na vita, njaa na lishe duni.
-
UN: Watu milioni 14 watahitajia msaada wa dharura Nigeria 2017
Nov 16, 2016 14:16Umoja wa Mataifa umesema watu milioni 14 watahitajia msaada wa dharura mwaka ujao wa 2017 kaskazini mwa Nigeria na kwamba makumi ya maelfu ya watoto wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa katika eneo hilo ambalo lilikuwa ngome ya kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
-
Wanafunzi elfu 80 kuacha shule kutokana na njaa Zimbabwe
Oct 19, 2016 15:28Wanafunzi zaidi ya 80,000 nchini Zimbabwe wapo katika hatari ya kukatiza masomo yao kutokana na baa la njaa ambalo limefikia "kiwango cha kutisha."