-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Oman
Dec 28, 2022 09:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana katika nyakati tofauti na Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Ofisi ya Mfalme wa Oman, wakajadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu masuala yenye maslahi kwa pande mbili.
-
Bunge la Oman: Kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni uhalifu
Dec 28, 2022 05:08Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.
-
Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel
Nov 04, 2022 03:14Shirika la ndege la bei nafuu la Oman na Benki ya Kiislamu ya Kuwait zimeamua kujiondoa katika maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Anga ya Bahrain (BIAS) baada ya kubaini wajumbe kutoka makampuni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel watashiriki katika maonyesho hayo, ikiwa ni hatua ya kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Palestina.
-
Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake
Oct 22, 2022 08:55Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa, safari zisizopungua 10 za ndege za utawala huo haramu kuelekea India zimefutwa baada ya Oman kukataa kuzipatia ndege hizo kibali cha kupita katika anga yake.
-
Ziara ya Rais wa Zanzibar nchini Oman + SAUTI
Oct 15, 2022 14:11Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi amemaliza ziara yake ya siku nne nchini Oman na amesema kuwa, ziara yake hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi...
-
Iran na Oman zajadili mapatano ya kuondolewa Tehran vikwazo
Aug 29, 2022 06:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatathmini kwa kina jibu la serikali ya Marekani kuhusu masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya kuliondolea vikwazo taifa hili.
-
Iran: Mataifa ya Asia Magharibi yanapaswa kuamua kuhusu mustakabali wa eneo
Jun 24, 2022 07:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Asia Magharibi ndiyo yanayostahiki kuamua kuhusu mustakabali wa eneo hili la kistratijia.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Muscat
May 23, 2022 20:49Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya pamoja mjini Muscat na kutilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizi mbili ndugu.
-
Sultan Haitham atoa amri ya kifalme ya kuimarishwa ushirikiano wa baharini wa Oman na Iran
May 19, 2022 02:41Sultan Haitham bin Tariq wa Oman ametoa amri ya kifalme ya kupasisha makubaliano ya ushirikiano wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa uchukuzi na usafiri wa baharini.
-
Mufti wa Oman awakosoa viongozi wa Kiarabu wanaofuturu na Wazayuni huku al Aqsa ikitiwa najisi
Apr 20, 2022 22:19Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili, amepongeza misimamo ya kishujaa ya wanamapambano wanaoendelea kukabiliana na uvamizi wa mara kwa mara wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.