-
Iran: Mataifa ya Asia Magharibi yanapaswa kuamua kuhusu mustakabali wa eneo
Jun 24, 2022 07:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Asia Magharibi ndiyo yanayostahiki kuamua kuhusu mustakabali wa eneo hili la kistratijia.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Muscat
May 23, 2022 20:49Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya pamoja mjini Muscat na kutilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizi mbili ndugu.
-
Sultan Haitham atoa amri ya kifalme ya kuimarishwa ushirikiano wa baharini wa Oman na Iran
May 19, 2022 02:41Sultan Haitham bin Tariq wa Oman ametoa amri ya kifalme ya kupasisha makubaliano ya ushirikiano wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa uchukuzi na usafiri wa baharini.
-
Mufti wa Oman awakosoa viongozi wa Kiarabu wanaofuturu na Wazayuni huku al Aqsa ikitiwa najisi
Apr 20, 2022 22:19Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili, amepongeza misimamo ya kishujaa ya wanamapambano wanaoendelea kukabiliana na uvamizi wa mara kwa mara wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini
Mar 10, 2022 00:40Kikao cha Tatu cha Makamanda wa Gadi ya Ufukweni ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran na Oman kimefanyika mjini Muscat na kujadili usalama wa baharini. Maudhui kuu iliyojadiliwa na nchi hizi mbili ndugu katika kikao hicho ni kuzidi kushirikiana na kuwa na uratibu wa pamoja na kulinda usalama wa mpaka wa baharini wa nchi hizo.
-
Rais Ebrahim Raisi: Azma ya kisiasa ya Iran ni kustawisha uhusiano na mataifa rafiki
Feb 23, 2022 23:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, irada ya kisiasa ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ni kukuza na kustawisha ushirikiano na mataifa rafiki hususan Oman.
-
Iran haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna
Feb 23, 2022 10:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu imezifahamisha nchi za Magharibi kuwa katu haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna ambayo yanalenga kuhuisha mapatano ya JCPOA.
-
Rais wa Syria asifu na kupongeza sera na misimamo ya Oman kuhusiana na nchi yake
Feb 01, 2022 04:14Rais Bashar al Assad wa Syria ameipongeza Oman kutokana na nafasi yake kuu na yenye mlingano kuhusiana na nchi yake.
-
Iran: Uhusiano wetu na Oman ni wa jadi na imara sana
Jan 10, 2022 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, uhusiano wa Tehran na Oman ni wa jadi na imara na kwamba siasa za serikali ya Iran zitaendelea kuwa za kupigania uhusiano imara na majirani zake.
-
Meli ya Israel yashambuliwa katika pwani ya Oman
Jul 30, 2021 08:07Jeshi la Uingereza limetangaza habari ya kushambuliwa meli ya mizigo ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika pwani ya Oman.