-
Indhari na hatua mpya kuhusu vita vya ushuru vya Trump
Apr 27, 2025 02:26Indhari na radiamali mpya zimetolewa ndani ya Marekani na kimataifa kutokana na kuendelea vita vya ushuru vya Rais Donald Trump na madai yake katika uwanja huo.
-
Indhari ya WHO kuhusu kushtadi migogoro ya kibinadamu kufuatia kusimamishwa misaada ya Marekani
Apr 22, 2025 02:33Afisa mmoja wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Jumapili Aprili 20 alitahadharisha kuwa kupungua misaada ya nje ya Marekani kunaweza kuzidisha ugumu na kutatiza pakubwa migogoro ya kibinadamu kote ulimwenguni.
-
Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine
Apr 21, 2025 02:24Marco Rubio Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa, Rais Donald Trump atajiondoa katika juhudi za kupatanisha makubaliano ya amani kati ya Russia na Ukraine ndani ya siku chache zijazo isipokuwa kama kutakuwa na dalili za wazi kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.
-
Russia nayo yaionya Washington kuhusu shambulio lolote dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran
Apr 02, 2025 02:30Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kwamba shambulio lolote dhidi ya miundombinu ya nyuklia ya Iran linaweza kuwa na madhara makubwa kwa eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu matokeo mabaya ya uchokozi wa aina yoyote
Mar 20, 2025 02:34Amir Saeed Irvani, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa alitahadharisha katika barua yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu kwamba, hatua zozote za kichokozi zitakazofanywa na Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na hatari mno.
-
Magereza ya Uingereza; uwanja wa kujifaragua magenge ya uhalifu
Jan 15, 2025 07:38Mkaguzi Mkuu wa Magereza nchini Uingereza ametahadharisha kuwa matumizi ya ndege zisizo na rubani (droni) kuingiza silaha na mihadarati katika magereza ya nchi hiyo ni tishio kwa usalama wa taifa licha ya ulinzi mkali uliopo.
-
Onyo kuhusu athari za kiusalama za mpasuko wa anga ya kisiasa ya Marekani
Jan 07, 2025 02:40Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani NBC imeandika katika ripoti yake kuhusu suala la kushamiri itikadi kali katika anga ya mtandaoni, ikionya kuhusu madhara ya usalama ya mpasuko wa nga ya kisiasa ya Marekani.
-
Intelijensia ya Russia: US na UK zinapanga mashambulio ya kigaidi dhidi ya vituo vyetu vilivyoko Syria
Dec 29, 2024 11:03Idara ya Intelijensia ya Russia ya Nje ya Nchi (SVR) imetahadharisha kuwa Marekani na Uingereza zinapanga mashambulizi ya kigaidi katika vituo ya kijeshi vya nchi hiyo vilivyoko Syria ili hali ya nchi hiyo isitangamae na amani na uthabiti usirejee nchini humo.
-
Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia
Dec 18, 2024 11:07Rais Vladimir Putin wa Russia, ametoa onyo kuhusu kuwekwa makombora ya masafa ya kati na mafupi ya Marekani barani Ulaya na Asia, akisisitiza kwamba nchi yake itatoa jibu la pande zote kwa hatua hiyo. Putin amesema, mpango wa Washington wa kuweka makombora barani Ulaya unaitia wasiwasi mkubwa Moscow.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel
Oct 21, 2024 02:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.