-
Madai ya Marekani kuhusu serikali ya Pakistan kuyapa hifadhi makundi yanayopinga serikali ya Afghanistan
May 24, 2020 23:25Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa ripoti na kudai kwamba serikali ya Pakistan sambamba na kuyapa hifadhi makundi yanayoipinga serikali ya Afghanistan, pia inayaunga mkono.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Pakistan iliyoua 97
May 23, 2020 03:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa serikali na raia wa Pakistan kufuatia ajali ya ndege ya abiria ya nchi hiyo iliyoua makumi ya watu.
-
Wasiwasi wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu harakati za kijeshi za India katika mstari wa udhibiti wa Kashmir
May 09, 2020 03:28Waziri Mkuu wa Pakistan ameonyeshaa wasiwasi mkubwa alionao kuhusiana na harakati mpya za kijeshi za India katika mstari wa udhibiti wa Kashmir (Line of Control) na kuongezeka mashambulio ya jeshi la nchi hiyo dhidi ya mstari huo.
-
Sisitizo la Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan la kuendeleza juhudi za kuhitimisha vita nchini Afghanistan
Apr 23, 2020 21:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amesisitizia azma na irada ya nchi yake kuendeleza juhudi za kuhitimisha vita na mapigano nchini Afghanistan.
-
Tamko la Kamisheni ya Haki za Binadamu ya OIC la kulaani ukatili wanaozidi kufanyiwa Waislamu wa India
Apr 20, 2020 08:23Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.
-
OIC yalaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India
Apr 19, 2020 22:42Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.
-
Pakistan yaitaka jamii ya kimataifa kukomesha mauaji ya Waislamu nchini India
Mar 14, 2020 09:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kivitendo kusitisha mauaji ya Waislamu na ukiukaji wa wazi wa haki za binaadamu nchini India.
-
Pakistan: Tuko huru kutumia silaha ya aina yoyote ya kivita
Feb 26, 2020 01:15Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Anga la Jeshi la Pakistan amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo liko huru kutumia silaha yoyote ya kivita na haihitaji kuomba ruhusa kwa nchi yoyote ile.
-
Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya njama ya Trump ya "Muamala wa Karne"
Feb 20, 2020 04:45Baraza la Seneti la Pakistan limepasisha kwa sauti moja azimio linalopinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" likisema kuwa unawataka Wapalestina wasalimu amri kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya Muamala wa Karne
Feb 19, 2020 04:48Baraza la Seneti la Pakistan limepasisha kwa kauli moja azimio la kulaani mpango wa Kimarekani wa Muamala wa Karne, likisisitiza kuwa njama hizo za Washigton zilizojaa hila zinakusudia kuwafanya Wapalestina wasalimu amri katika hali ya idhilali mbele madhalimu wao.