-
Pakistan haina imani na upatanishi wa Marekani katika mzozo wa Kashmir
Feb 07, 2020 02:41Waziri Kiongozi wa eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Pakistan amesema kuwa upatanishi wa Marekani katika utatuzi wa mzozo wa eneo hilo hautakuwa na maslahi kwa Waislamu.
-
Waziri Kiongozi wa Uttar Pradesh: Waislamu walishwe risasi badala ya biriani
Feb 06, 2020 08:55Waziri Kiongozi wa jimbo la Uttar Pradesh nchini India kutoka chama cha Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametoa matamshi ya kibaguzi na kichochezi dhidi ya Waislamu akitaka wauawe.
-
Pakistan: Matumaini ya Trump kuwa mpatanishi katika mgogoro wa Kashmir, ni ujinga mkubwa
Feb 03, 2020 12:24Seneta wa ngazi ya juu nchini Pakistan sambamba na kubainisha kwamba Marekani kamwe haijawahi kuwatakia jambo la kheri Waislamu, amesema kuwa Trump hataki hata kidogo kutatuliwa matatizo ya Waislamu wa Kashmir.
-
Msimamo wa Imran Khan kuhusu njia mjarabu ya kufikiwa usalama nchini Afghanistan
Jan 27, 2020 04:37Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan sambamba na kusisitiza kutokuwepo njia ya utatuzi wa kijeshi kwa mzozo wa Afghanistan, amesema kuwa amani ya nchi hiyo itafikiwa pale tu kundi la Taleban litakapofanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo.
-
Pakistan yakiri ilifanya kosa kubwa kushirikiana na Marekani katika vita vya Afghanistan
Jan 22, 2020 22:57Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa, uamuazi wa nchi yake wa kushirikiana na Marekani katika vita vya Afghanistan kwenye kile kilichodaiwa kuwa ni kupambana na ugaidi, lilikuwa kosa kubwa.
-
Baridi na maporomoko ya theluji yaua watu 67 nchini Pakistan
Jan 14, 2020 08:38Kwa akali watu 67 wamepoteza maisha kutokana na baridi kali ya msimu wa kipupwe pamoja na maporoko ya theluji katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Pakistan ndani ya masaa 24 yaliyopita.
-
Pakistan yaitaka OIC iwalinde Waislamu wa India
Dec 31, 2019 03:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan ameitaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwatetea na kuwahami Waislamu wa India.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan akosoa vikali muswada wenye utata wa serikali ya India dhidi ya Waislamu
Dec 12, 2019 04:27Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa kupasishwa muswada nchini India ambao unawapa uraia watu wasiokuwa Waislamu, ni ukiukaji wa haki za binaadamu.
-
Mtaalamu wa uchumi Islamabad: Mafuta ya Iran yamesaidia ustawi wa Pakistan
Dec 05, 2019 23:21Mtaalamu wa masuala ya kiuchumi wa nchini Pakistan amesema kuwa, kuongezeka uagizaji mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran kunakofanywa na serikali ya Islamabad mbali na kwamba kumesaidia kukidhi mahitaji ya nishati hiyo muhimu kwa taifa hilo, lakini pia ni hatua kubwa kwa ajili ya ustawi wa kiuchumi wa Pakistan.
-
Balozi wa Norway aonywa na serikali ya Pakistan kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'an Tukufu
Nov 25, 2019 04:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan imemwita balozi wa Norway mjini Islamabad kufuatia maandamano makubwa yaliyofanywa na raia wa Pakistan kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima kitabu cha Mwenyezi Mungu (Qur'an Tukufu) katika moja ya miji ya nchi hiyo ya Ulaya.