-
Kuzidi kuharibika uhusiano wa Marekani na Pakistan
Nov 21, 2019 23:45Siku chache zilizopita, Pakistan haikuruhusu ndege moja ya kijeshi ya Marekani kutumia anga yake ikiwa ni katika kile kinachoonekana ni kuzidi kuharibika uhusiano wa Washington na Islamabad.
-
India yafunga kanali za televisheni za Kiislamu Kashmir
Nov 18, 2019 08:04India imepiga marufuku kurushwa matangazo ya kanali za televisheni za nchi za Kiislamu zikiwemo Iran, Uturuki na Malaysia katika eneo la Kashmir iliyo chini ya udhibiti wa serikali ya New Delhi.
-
Wapinzani wa serikali nchini Pakistan watangaza mpango wa pili wa kuendeleza maandamano
Nov 14, 2019 04:00Chama cha Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu (Jamiat Ulema-e-Islam) nchini Pakistan ambacho kinaipinga serikali ya sasa ya Imran Khan, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, kimetangaza mpango wa pili katika kumuwekea mashinikizo zaidi waziri mkuu huyo ili ajiuzulu.
-
Pakistan yaitaka India ikomeshe ukandamizaji wa askari wake dhidi ya wakazi wa Kashmir
Nov 09, 2019 04:27Mkuu wa eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa Pakistan, ameitahadharisha serikali ya India kutokana na ukandamizaji wa askari wa nchi hiyo kuwalenga wakazi wa eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa New Delhi.
-
Ukosoaji wa Pakistan dhidi ya serikali ya Marekani
Nov 07, 2019 03:29Pakistan imeyakosoa vikali madai ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwamba, Islamabad haina uwezo wa kupambana na ugaidi na kuyataja matamshi hayo kuwa siyo ya kukubalika hata kidogo.
-
Pakistan yalaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Kashmir katika sehemu mbili
Nov 01, 2019 08:20Serikali ya Pakistan imelaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Jammu na Kashmir katika sehemu mbili.
-
Rais Rouhani: Tehran na Islamabad zinataka masuala ya kieneo yatatuliwe kwa njia ya mazungumzo
Oct 13, 2019 08:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran na Islamabad zinaamini kuwa, masuala ya kieneo yanapaswa kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo baina ya nchi mbalimbali.
-
Onyo la kamanda wa jeshi la India kwa Pakistan
Sep 25, 2019 04:34Kamanda wa jeshi la India ameituhumu serikali ya Pakistan kuwa inaunga mkono ugaidi.
-
Pakistan yaitaka Saudia kujiepusha na hatua yoyote itakayotishia usalama wa eneo
Sep 23, 2019 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema kuwa, nchi hiyo imeitaka Saudi Arabia kuchukua tahadhari kutokana na uamuzi wowote wa haraka ambao unaweza kutishia usalama na amani ya eneo.
-
Pakistan: Wamarekani sio watu wa kuaminika
Sep 23, 2019 23:20Waziri wa Reli nchini Pakistan amesema kuwa, Wamarekani sio watu wa kuaminika kwa namna yoyote ile kwa kuwa huko nyuma pia waliihadaa Pakistan.